Humphreys mwalo
Member
- Dec 22, 2016
- 7
- 0
- Thread starter
- #21
19Itakuwa upo katika kipindi cha mwanzo cha balehe
Umri wako tafadhali?
19Itakuwa upo katika kipindi cha mwanzo cha balehe
Umri wako tafadhali?
Sjawahi kabisaUmewahi kuwa na mpenzi siku za nyuma.??
SanteKwa hivi unavyoandika kazana na shule kwanza.
Kwa ufupi hilo siyo tatizo ni hatua ya kubalehe.
Kwa urefu;
kwa umri wako hivyo unavyojisikia siyo kitu cha ajabu ni kawaida, katika kipindi hiki unakua na gusa hiki acha, jaribu kile acha, au nifanye anachofanya fulani nyingi.
Unachohitaji ni kupata mtu wa kuongea naye, itapendeza kama atakua mzazi wako. Lakini kama maisha yako ni kama ya waTanzania wengi, jitengenezee ratiba ya kuifuata kila siku.
Tafuta kitu ambacho unaweza kuwa mzuri katika hicho mfano unaweza kuamua uwe unajifunza gita, au unaweza kuwa na ratiba na chochote ambacho una passion nacho.
Kuna mdau kasema fanya mazoezi, fanya na ule inavyotakiwa naamini itasaidia.
Mengine yatasemwa na wadau wengine.
Samahani unaishi Dar?Sante
NdioSamahani unaishi Dar?
Ok poa, hii 'asante' mbona unaiandika hivi?Ndio
Nmekosea kwanOk poa, hii 'asante' mbona unaiandika hivi?
Sante
Unaionaje hapo?Nmekosea kwan
Aha haya bwanaUnaionaje hapo?
Acha uboya...Si unajilipia mwenyewe au kuna mtu anapasuka?[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mkuu......Nashindwa kabsa kuzkotroo hisia zangu kila mwanamke ntakaye muona me nataman nwe naye ii hali inantesa sana nkjalibu kujizuia nashindwa kabisa na mda mwingi nkikaa nawaza tuu kuhusu wanawake sina ata mda wa kufkil vtu vya msingi
Asa kama kunamtu anaweza akansaidia jinsi ya kukotroo hisia zangu au kama anafahamu chochote kuhusiana na tatzo langu pls msaada
Aisee Kwahiyo umeamua kuja kunilipa au siyo?Acha uboya...
[emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87]
Hapana mkuu...Aisee Kwahiyo umeamua kuja kunilipa au siyo?
Fanya mazoezi kila siku , tafuta marafiki wenye tabia nzuri na wanaofanya vizuri darasani, hudhuria vipindi vya dini, muombe mungu pia jisomee biblia, jikite kwenye masomo tumia muda mwingi kusolve maswali hasa hasa hesabu , fizikia n.k
Fanya kitu unachokipenda kama kufuatilia mpira n.k
SEX huondoa MAARIFA
Mwisho
PAMBANA UWEZAVYO KUTIMIZA NDOTO ZAKO
Aaah hapana mkuu sina kisirani, just horsing around.Hapana mkuu...
Nisamehe tu..!!
Usianze mwaka na kisirani.
[emoji4] [emoji4] [emoji120] [emoji120]
Umri wako tafadhari.Asa kama kunamtu anaweza akansaidia jinsi ya kukotroo hisia zangu au kama anafahamu chochote kuhusiana na tatzo langu pls msaada
Basi sawaAaah hapana mkuu sina kisirani, just horsing around.
Ndio kipindi chake kuwa hivyo