Hilo ni tatizo la akili. Nenda hospitali clinic ya Psychatry utapata usaidizi. Kuna kitu huwa kinaitwa sex maniac na inaweza ukawa na hilo tatizo. Usidharau maana inaweza kukusababishia matatizo kama kujikuta unataka kutembea na watu ambao mko closely related na hii inaweza kukuondolea heshima yako kwenye jamii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.