ushauri naomba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ushauri naomba

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by oldd vampire, Oct 17, 2012.

 1. oldd vampire

  oldd vampire JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mimi ni msichana,nimegraduate mwaka huu pale DUCE,ila nahitaji kusoma masters,ushauri wa facult ndo nau hitaji, kuna hizi kozi 3 zipo kwa kichwa changu,MBA(human resource management),public healtj,na community development,so which one is good,ntashukuru kama mtanishauri na sio kuni shushua
   
Loading...