kwa uzoefu wangu mdogo wa wanawake 7 walozaa kabla ya ndoa nimekutana na haya: 1 hana habari kabisa na mwanaume wa mwanzo, 3 waliendelea kuzini ndani ya ndoa zao mpya na jamaa waliowazalisha. 3 ndoa zao zilivunjika kwa wivu, kulazimisha mwanaume atunze mtoto, name kutoaminiana. Mimi binafsi MTU nikishajua amezaa kabla Upendo wangu kwake unakufa unless huyo mwanaume alishakufa!!! hayo mambo ya sijui utaficha, ndio umuhimu wa kuchunguzana unapokuja. tatizo vijana tunajua kuchunguzana ni kugegedana tu name kupeana ofa za kitimoto na bia!! kuna zaidi ya hayo tena hayo ni ya ziada.