Ushauri:-Nampenda ila hili linaniwia gumu.

Ushauri:-Nampenda ila hili linaniwia gumu.

You have to love and accept her for what she is - if you truly love her.

love knows no boundary
 
1.Tokea nimfahamu ni miezi ni miezi nane ila kwenye mahusiano ni mi4.
Kumbe mnafahamiana muda mrefu, sasa iweje suala la mtoto kachelewa kukuambia?

3.Aliza na mwanaume tu sio kwenye ndoa na alikuwa na miaka 17 kipndi hcho.

Mkuu jiandae kuwa tegemezi kwa kila kitu toka kwa mkeo mtarajiwa.

4:Baba hanashuguli na mtoto sema ndugu zake ndo wanamjali mtoto pamoja na mama wa huyu mwanaume ila yeye hatoi chochote.

Kwa maelezo haya ina maana mchumba wako haishi na mwanaye?
 
nani kakwambia mdau yuko shamba huyu yuko town bonga unalinunua sokoni hakuna maua ya maboga huko!

hahahahahaha hii tungo haimaanishi maisha ya shamba bali changamoto akutanazo mtu kwa kitu akipendacho
maana kampenda huyo mdada ndo boga na mtoto wa mdada ni ua so anawajibika kuwapenda wote maana hakuna boga lisilo na maua
 
waooooo wabheja sana Excel



karibu!

P1020885.jpg


kimeandaliwa na mke wangu.. Angelicious..!
 
Last edited by a moderator:
Kumbe mnafahamiana muda mrefu, sasa iweje suala la mtoto kachelewa kukuambia?



Mkuu jiandae kuwa tegemezi kwa kila kitu toka kwa mkeo mtarajiwa.



Kwa maelezo haya ina maana mchumba wako haishi na mwanaye?

Sijakuelewa watu8,kuwa tegemezi kwa kila kitu kwa namna gani? Anaishi na mwanae sema hao ndugu ndo wanamununulia vitu na kumletea kwan wanakaa karbu.
 
Sasa we ulitaka akufuche na baadaye ukigundua ndo iwe sababu ya kumkimbia?
Huyo kafanya vema sana ili ufahamu mapema na kutoa uamuzi kabla hajachelewa
Kwani huyo mtoto anazuia nini kwenye mahusiano yenu?
 
kweli kabisa. Na mara nyingi wanawake wenye watoto huwa wanaficha sana makucha wanajifanya wapole, real love lakin akiwekwa ndani utajuta kumfahamu

mtaanza kugombana kwa ajiri ya mwanae mara nyingi sana kama mwanae utakaa nae akifanya kosa ukamkanya mara nyingi huchukulia kama unamnyanyasa pili yule alie zaa nae akijua ameolewa anajua amepata mtu wa kumsaidia mzigo ni mwanzo wa kurudisha mahusiano na akiomba gem uwezekano mkubwa wa kuendelea mahusiano upo kuwa makini kaka
 
Sijakuelewa watu8,kuwa tegemezi kwa kila kitu kwa namna gani? Anaishi na mwanae sema hao ndugu ndo wanamununulia vitu na kumletea kwan wanakaa karbu.

1. Inaonesha huyo dada alikatisha masomo na kwa mantiki hana shughuli yoyote ya kiuchumi aifanyayo zaidi ya kulea mtoto.

2. Wasichana wengi wanaojifungua katika umri mdogo wakiwa nyumbani, wazazi wao hutamani angalau waolewe ili kuwapunguzia mzigo wa matunzo.
Hivyo tegemea jukumu jipya la kulea huyo mtoto kama mwanao wa kumzaa.

NB:
Halafu kwa nini wakwepa kunijibu hili swali?

Iweje suala la mtoto kachelewa kukwambia?
 
Hv kwanini inakuwaga ngumu mwanaume asiye na mtoto kumuoa mwanamke mwenye mtoto?
 
1. Inaonesha huyo dada alikatisha masomo na kwa mantiki hana shughuli yoyote ya kiuchumi aifanyayo zaidi ya kulea mtoto.

2. Wasichana wengi wanaojifungua katika umri mdogo wakiwa nyumbani, wazazi wao hutamani angalau waolewe ili kuwapunguzia mzigo wa matunzo.
Hivyo tegemea jukumu jipya la kulea huyo mtoto kama mwanao wa kumzaa.

NB:
Halafu kwa nini wakwepa kunijibu hili swali?

Iweje suala la mtoto kachelewa kukwambia?

Hakukatsha masomo,kwa sasa yuko collage anafanya diploma.Alihofu ntamwacha ndo mana alvuta subra kuniambia.
 
Tafuta ambae hajazaa achia wengine watamuoaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom