Ushauri: Najihisi kudharaulika na wanajamii

Kizzy Wizzy

Yaani hbr ya dunia sijui mjini sasa ndio hiyooo eti shkamoo kamsalimie mama /baba aliyekuza... Mimi pia inanikwaza ila nimepata solution ya kuwa nawapuuza akikataa shkamoo nikiwakuta Nasema za asb jmn! za mjana wandunguu! habariii but shkamoo mpk nimdeku mtu saana au aniambie ujaamboo.. ndio ntamwambia sijambo shkamoo au sijambo kbs mpnz za kwako that only kwisha hbr yao 1wk tu ukianza utakuwa umeshaizoeyaa na shkamoo utaipeleka kwenu.
 
Last edited by a moderator:
Ukikutana na mtu usitoe salamu ya uoga, yani kumuona mtu tu unaanza shikamooo. No si sawa.
Anza Habari za asubuhi, au habari za mchana, akijibu ndio unakuja shikamooo, kiuta uzima zaidi.

Unaweza hata zungumza maneno matatu manne then shikamooo ifate
 
Thanks ngoja nianze kuipractice maana naona wanazidi kuniona mjinga na madharau yanazidi day after day....!
 
Ukikutana na mtu usitoe salamu ya uoga, yani kumuona mtu tu unaanza shikamooo. No si sawa.
Anza Habari za asubuhi, au habari za mchana, akijibu ndio unakuja shikamooo, kiuta uzima zaidi.

Unaweza hata zungumza maneno matatu manne then shikamooo ifate

Ok brother nimekusoma
 
I think y'all missing the punchline here, someni tena vizuri na mtoe ushauri anaoutaka K-Wizzy.

wengii ni wanawake..

Sasa nahisi wananidharau na kunishangaa, sasa kama hawataki nitumie hiyo salamu nitumie salamu gani..?na ni vipi ni-react nao ili wasiniletee dharau!
 
My bad if so.
quick questions man, dharau walizokuonyesha ni zipi? na kwanini unajali?

Maneno ya pembeni brother ambayo huwa wanayasema nisipokuwepo..
Mtu anaakuchukulia like u don't have something to tell/cooperate.. Or its like you can't do this u are a child!7

Yaani naichukia vibayaaa
 
hold up, so ni zaidi ya salamu inaonyesha. Anyway, kama wanayasema ukiwa haupo, we unayapataje, and...do you really have nothing to co-operate??
 
Kizzy Wizzy

Siku hizi wanasema mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio labda wanasubiri uzuke ili wazuke na wewe, cha muhimu ni "habari" haijalishi ana umri gani, anayetaka kuamkiwa atakuambia "niamkie wewe" ndio uanze kumwamkia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom