Ushauri:Nahitaji house girl ila nipo njia panda

Watu wengine wanafanana kama wanaume ila akili zao za kike.....sijui nilimbukeni au homony za kike.......eti......shit
 
tafuma mama mtu mzima, akija once or twice a week inatosha.....usitake wa kuishi nae....shetani yuko kazini broo....
 
Haaahaaaaaaahaaaaaa!!!.
Dahhh mkuu umejua kunichekesha jioni hii.
 
Kumbe umeandika huu Uzi ukiwa rainbow.! Ndio mana. Unachua ngapi za vant kwa mukichwa.? Nitapita badae kidogo hapo rainbow nije nisikilize muzuri
 
Ushauri tafuta mama mtu mzima,mpangie siku za kuja kufanya usafi siku ambazo wewe unakuwepo nyumbani.
Umesema nyumba kubwa kiasi basi hakikisha vyumba ambavyo huvitumii muda wote unafunga madirisha ili kupunguza vumbi lisiingie ndani.
Natumai kama ulivyosema upo peke yako kwa hata nyumba kuchafu siyo sana.
N:B mlipe ujira wake kila anapokuja kukufanyia usafi.ila chumba unacho lala jitahidi ufanye usafi mwenyewe.
 
We tafuta housegirl mzuri ukae naye hapo kwako wanasaidiaga sana hao inapotokea mademu zako wanazingua unakunywa Kvant then unarudi zako nyumbani mapema unakaletea zawadi unakapa na sh elfu kumi kisha usiku unakaomba kaje chumbani kwako kukukamua chunusi...!!!
Mengine utajiongeza mwenyewe
Wanakuwaga watamu balaa
 
Ahsante mkuu nashkuru sana kwa ushauri wako mzurii
 
😂😂 eti nakaomba kaje kanikamue chunusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…