Ushauri: Nahisi kupotea kwa huyu mwanamke

Ushauri: Nahisi kupotea kwa huyu mwanamke

sam green

Senior Member
Joined
Feb 21, 2020
Posts
191
Reaction score
297
Wadau na mahusiano na mwanmke, ambaya awali alikuwa na mahusiano na mtu flan wakabahtika kupata mtoto, lakin mtoto alifarki baada ya muda.

Wakaachana kwa sababu za hapaa na palee, sasa mimi namfahamu ndio mchumba wangu wa sasa nahitaji kumuoa lakin naogopaa nisijepigwa vibuti maana huyo jamaaa yupo karibu na eneo analoishi binti.

Nawaslishaa
 
Wewe nae unaitakidi ni mwanaume [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wadau na mahusiano na mwanmke, ambay awli alikuwa na mahusiano na mtu, flan wakabahtika kupataa mtoto, lakin mtoto alifarki baada ya muda,. Wakaachana kwa Sababu za hapaa na palee, sasa mm namfaham ndio mchumba wangu wa sasa nahitaj kumuoa lakin naogopaa nisije pigwa vibuti maana huyo jamaaa yupo karbu na eneo analoish binti
Nawaslishaa
.....your concern is a little bit complex  kwa sababu humu huwa wanashauri kuoa single mom lazima uone kaburi la mpenzi wake.....sasa wewe umeenda kinyume umedeti binti ambae mtoto ndo marehemu then baba mzima.....na pia dhana ya kumwita single mama wakati mtoto haonekani hapo ndo inazid ku-comfuse coz hana mtoto lakini kweli alizaa...
 
Wadau na mahusiano na mwanmke, ambay awli alikuwa na mahusiano na mtu, flan wakabahtika kupataa mtoto, lakin mtoto alifarki baada ya muda,. Wakaachana kwa Sababu za hapaa na palee, sasa mm namfaham ndio mchumba wangu wa sasa nahitaj kumuoa lakin naogopaa nisije pigwa vibuti maana huyo jamaaa yupo karbu na eneo analoish binti
Nawaslishaa
We ingilia mahusiano ya watu baadae uje uachwe au upigwe uanze kulia lia?

Kwani wanawake wameisha au ni huyo mmoja tu??
 
Kwani jamaa alifeli wap,? tuanzie hapo kwanza
 
Wadau na mahusiano na mwanmke, ambay awli alikuwa na mahusiano na mtu, flan wakabahtika kupataa mtoto, lakin mtoto alifarki baada ya muda,. Wakaachana kwa Sababu za hapaa na palee, sasa mm namfaham ndio mchumba wangu wa sasa nahitaj kumuoa lakin naogopaa nisije pigwa vibuti maana huyo jamaaa yupo karbu na eneo analoish binti
Nawaslishaa
Baba wa mtoto Yuko kitaa hicho hicho anachoishi demu wako? Kimbia haraka sana, tena usigeuke nyuma 😅
 
Kama unaogopa kias hiki inabd tuulize tu, "mjomba ushatomba ?"
Maana inaezekana mpka sasa hv unaiona kwa kioo tu
 
Back
Top Bottom