Ushauri nahama toka mjini kwenda kijijini

Kuna utaratibu gani wa kupata kibarua hapo mkuu??
Kuhusu utaratibu wa Bagamoyo Sugar sijui ila kutokana na experience ya viwanda vingi unaenda getini unawaomba kazi watakupa muongozo. Sababu ni kazi ngumu kuna idadi kubwa yawanao acha uhitaji wa watu ni mkubwa.
 
Shukran mkuu, nikajua labda ushawahi kupiga hapo.
 
Back
Top Bottom