Ushauri nahama toka mjini kwenda kijijini

sebsdtian

Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
85
Reaction score
82
Wakuu natafuta ni sehemu gani hasa mkoa wa dodoma vijijini ama wa morogoro vijijini niende ambapo nitaweza kupata kazi ndogo ndogo za viwanda vinavyohusiana na kilimo ama mashambani
 
Aisee kama ni vibarua Bora ukomae mjini, vijijini ukipewa kazi ya elf 5 shambani ujue utakomaa kweli kweli, nimelima msimu huu so naelewa

Kama unataka kukomaa kutumia nguvu kwenye machimbo madogomadogo ya dhahabu ukitulia unatengeneza pesa, kazi zipo nyingi tu

Ukikosa namna nicheki pm
 
Sawa mkuu shukrani sana
 
Sehemu gani nzuri ya machimbo madogo madogo mkuu nikakomae
 
Nenda kawekeze kwenye kilimo, fuga ng'ombe wako wawili wamaziwa ili wakukeep busy...utapata mbolea utapandia mboga mboga na mahindi
 
Aisee kama ni vibarua Bora ukomae mjini, vijijini ukipewa kazi ya elf 5 shambani ujue utakomaa kweli kweli, nimelima msimu huu so naelewa

Kama unataka kukomaa kutumia nguvu kwenye machimbo madogomadogo ya dhahabu ukitulia unatengeneza pesa, kazi zipo nyingi tu

Ukikosa namna nicheki pm
Au nenda kwa Bagamoyo Sugar kwa Bakhresa
 
Back
Top Bottom