njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 4,852
- 11,723
Umuofia kwenu,
Nina kakibanda kangu huko mjini Kerege sasa wakati napiga gharama mbali mbali nikajikuta mambo yamekua mengi na mzigo (pesa inakata) na wakati huo nilikua tayari nishalipia pesa za bati kiwandani, ila gharama za mbao zikazidi.
Baada ya kushauriana na fundi na kumueleza hali halisi akasema si tatizo sana katika mbao tutaongeza na miti jamii ya mirunda ile kupaulia ili kupunguza gharama na bahati nzuri akanionyesha na nyumba alizotumia miti huwezi amini.
Lakini wakurungwa mnanishauri vipi hapo, maana nikiangalia kweli niko tight?