Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,430
- 108,589
Masharti magumu kivipi? Utakwenda vipi kusoma nchi za kingereza bila kupimwa uwezo wako wa lugha?Kwanza jamaa anaitwa EBM na siyo IBM,jamaa huyu anaongea mambo mengi sana lakn yote ni magumu sana kwa wa Tz,anaongelea scholarship zenye masharti ya IELTS na TOEF yaani kiufupi yupo more complicated sana hana plan B kabisa.
Kumbuka watu wengi huwa wanatumia Admission letter au hizo I 20 kuombea viza tu na siyo wasomaji wanakwenda kupiga box.
Ndio sababu mtu yeyote aliyepata GPA nzuri kwenye degree ya kwanza ni gurentee lazima apate scholarship wala huitaji ndumba wala uchawi.
Hivi kama una nia ya kusoma kweli kwenda British council na kusoma kozi ya kingereza na kufanya hiyo mitihani yao shida iko wapi au huo ugumu uko wapi hapo? Sasa ukiogopa mtihani wa kingereza huyo consular ubalozini unakwenda kuongea naye vipi? Na student viza huwezi kufanyiwa interview kwa kiswahili ni lazima ujuwe lugha na siyo magumashi ya Yes no you know watakupiga chini ilihali una documents zote, watajiuliza tu kingereza hujui unakwenda kusoma vipi nchi inayotumia Kingereza? Utapeli, human trafficking.
, nikamshukuru Mungu, nika move on, mfukoni ikabaki 900K."