joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
Umekuwa mkweliKinachoua Kenya ni ufisadi.
Wakenya karibu wote wanaujua ukweli, tatizo ni jinsi ya kupambana na ukabila ili uweze kupiga vita huo ufisadi na impunity.Umekuwa mkweli
ipe kiti monkey imepata leo ni ajabu kumbe monkey iko na akiliKinachoua Kenya ni ufisadi.
Get your facts right. Watu wanaweza kuwa wa kabila tofauti ila wakashirikiana kwenye ufisadi. Ukabila unaletwa na siasa.Wakenya karibu wote wanaujua ukweli, tatizo ni jinsi ya kupambana na ukabila ili uweze kupiga vita huo ufisadi na impunity.
Sent using Jamii Forums mobile app
Imagine na hiyo corruption na bado gap kati yenu na sisi inazidi kupanuka kwani hela zenu mnapeleka kwa ushirikina ama hupotelea wapi kama sio ufisadi halafu mnaficha kwa kunyonga uhuru wa habari.Wakenya karibu wote wanaujua ukweli, tatizo ni jinsi ya kupambana na ukabila ili uweze kupiga vita huo ufisadi na impunity.
Sent using Jamii Forums mobile app
endelea kulamba matakoo ya magufuliWakenya karibu wote wanaujua ukweli, tatizo ni jinsi ya kupambana na ukabila ili uweze kupiga vita huo ufisadi na impunity.
Sent using Jamii Forums mobile app
Imagine na hiyo corruption na bado gap kati yenu na sisi inazidi kupanuka kwani hela zenu mnapeleka kwa ushirikina ama hupotelea wapi kama sio ufisadi halafu mnaficha kwa kunyonga uhuru wa habari.
Hahahahaha, hamna lingine zaidi ya kusema gap linaongezeka, pia madeni yanaongezeka, slums, njaa, unemployment, poverty, na insecurity pia vinaongezeka.Imagine na hiyo corruption na bado gap kati yenu na sisi inazidi kupanuka kwani hela zenu mnapeleka kwa ushirikina ama hupotelea wapi kama sio ufisadi halafu mnaficha kwa kunyonga uhuru wa habari.
Umesahau kuweka ukabilaHahahahaha, hamna lingine zaidi ya kusema gap linaongezeka, pia madeni yanaongezeka, slums, njaa, unemployment, poverty, na insecurity pia vinaongezeka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninashukuru kwa Ku kumbuka Identity yenu, pia terrorism, na tourism pia vinapngezekaUmesahau kuweka ukabila
Na isisahau pia kusema uchumi.Ninashukuru kwa Ku kumbuka Identity yenu, pia terrorism, na tourism pia vinapngezeka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh hii monkey inapiga kimombo siyo mchezo sijui ilizaliwa ulayaI am in a very bad mood right now so I will insult you like never before.Are you prepared? If not, quote me not