Ushauri Mzuri na wa bure kabisa kwa Uhuru Kenyatta kuiokoa Kenya.

Wakenya karibu wote wanaujua ukweli, tatizo ni jinsi ya kupambana na ukabila ili uweze kupiga vita huo ufisadi na impunity.

Sent using Jamii Forums mobile app
Imagine na hiyo corruption na bado gap kati yenu na sisi inazidi kupanuka :D:D kwani hela zenu mnapeleka kwa ushirikina ama hupotelea wapi kama sio ufisadi halafu mnaficha kwa kunyonga uhuru wa habari.
 
Pesa hupoteahatuna kawaida ya kupoteza pesa kama wakenya,subiri 2022 ndio utajua hiyo gap mnapanua ni ya kati kati ya miguu.
 
Imagine na hiyo corruption na bado gap kati yenu na sisi inazidi kupanuka :D:D kwani hela zenu mnapeleka kwa ushirikina ama hupotelea wapi kama sio ufisadi halafu mnaficha kwa kunyonga uhuru wa habari.
Hahahahaha, hamna lingine zaidi ya kusema gap linaongezeka, pia madeni yanaongezeka, slums, njaa, unemployment, poverty, na insecurity pia vinaongezeka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom