USHAURI: Mwanaume mwenye huyu mwanamke, mwambie afunge akaunti yake fb kwa usalama wako

Mbn wa kawaida sana acha kusifia upumbavu au ndo unabalehe nn au ndo umenunua smartphone inakupa mawenge huko Fb sifia vitu vyenye tija peleka huo upuuzi huko instagram.
 
amiliki simu,tena smart phone mpaka anaingia fb hivi jamani?


Hebu tuchukue hiyo Point, Kiuhalisia Binadamu ukimkataza kitu ndio kwanza atakifanya na atakifanya kwa ustadi wa hali ya juu pasipo wewe kugundua kuwa anafanya.

Kumkataza eti asitumie Smartphone sio suluhisho yaani ni kama tu umemruhusu na umemwambia atumie.


Kwa usalama zaidi ni bora umuache atumie kuliko kumkataza, hapa ni sawa na kumpiga biti binti yako "Eti ole wako nikukute na mvulana" hapa ni kama tu umemruhusu kuliko usingemwambia kabisa!
 
Kuna siku uzi uliletwa hapa unazungumzia wanaume wenzetu wanavyotusaliti na kujiunga na wanawake ili kukwepa majukumu ya kiume.
Wanaume ni jeshi sasa kuna baadhi ya wenzetu wamekua ni askari wasaliti wanapelekea sisi kuelemewa na maadui (wanawake) kwa sababu askari wenzetu wanaamua kuungana na adui(wanawake).

Hilo laweza kua dume, linda mpesa na tigo pesa zako mkuu
 
Back
Top Bottom