Ushauri: Mwanamke wa nje ananichanganya

Ushauri: Mwanamke wa nje ananichanganya

Piga chini mkeo chukua kitu nafsi inapenda ukikomaa na mkeo wenzake watamchukuwa mrembo huyo
 
Habari msomaji wa uzi huu.

Hii stori si yangu nimeona vyema nishare nanyi kwa kuwa JF ni jukwaa kubwa lenye watu wanaoweza kushauri.

Stori...
Habari ndg.
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 26 nimeoa nina mtoto mmoja wa miaka mitatu.

Hivi karibuni kuna mdada mmoja amekuwa akinipenda sana, hali hii imesababisha nami nimpende kwa dhati. Maana kila siku jioni lazima afike ofsini kwangu kunipokea.

Hatujawahi kufanya mapenzi. Kinachonishangaza ni kwamba anajua kuwa nina mke, na kila nikimweleza hivyo anasema kuwa ananipenda sana.

Ndugu naomba ushauri wako.

Wanajukwaa hii ndivyo ilivyo, tumshauri huyu mpendwa.
Huwezi kuomba ushauri wakati uamuzi umeshaupitisha kichwani kwako
 
KINACHOKUFANYA UOMBE USHAURI humu JF unakijua? basi ngoja nkujulisha..."UNAHOFIA maelewano na mkeo yatakuwaje..?,je akuacha utaleaje? na ukichek haupo tayar kuoa mke wa pili

sasa NAKUPA NJIA NZURI na ushaur bora zaidi,...NENDA KUMUOMBE USHAURI MKEO,..kwa sababu ndo muhusika mkuu wa pili ktk stori yako..
 
Habari msomaji wa uzi huu.

Hii stori si yangu nimeona vyema nishare nanyi kwa kuwa JF ni jukwaa kubwa lenye watu wanaoweza kushauri.

Stori...
Habari ndg.
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 26 nimeoa nina mtoto mmoja wa miaka mitatu.

Hivi karibuni kuna mdada mmoja amekuwa akinipenda sana, hali hii imesababisha nami nimpende kwa dhati. Maana kila siku jioni lazima afike ofsini kwangu kunipokea.

Hatujawahi kufanya mapenzi. Kinachonishangaza ni kwamba anajua kuwa nina mke, na kila nikimweleza hivyo anasema kuwa ananipenda sana.

Ndugu naomba ushauri wako.

Wanajukwaa hii ndivyo ilivyo, tumshauri huyu mpendwa.
we c una mke????? sasa unataka ushauriwe nn sasa?
 
wewe ni mbulula,endekeza tu tamaa za muda na afu ukatema big G kwa karanga za kuonyeshwa
 
Back
Top Bottom