Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Hii tabia ya kufanya juu chini kua na waume za watu imekua kama fashion sikuhizi.Hivi kina dada wenzangu? Mtu ana mke wake na mtoto, unatoka wapi kumwambia unampenda? Unataka nini kama sio laana kwa Mungu? Angekuwa mumeo ungekubali kufanyiwa hivyo? Hivi huwa mnajaribu kuvaa uhalisia wa mwanamke mwenzenu kabla ya kuchepuka na waume zao? Kina dada mbona hivyo?
Na wewe mkaka unaomba ushauri gani huo? Mpaka unamuoa mkeo na kupata mtoto si ulimpenda mkeo, huyo wa nje hana mapenzi kuna kitu ameona kwako ndo anachokitaka na sio upendo bali kuchunwa! Pole sana Mti wa Chuma
Waume za watu nao kwa kujilegeza wanakubali kuingia kingi.