Ushauri: Mwanamke wa nje ananichanganya

Jaribu mchepuko huo utape cha kuhadithia ukizeeka
 
Huo ujinga ashauriwe nn hapo sio kila kitu kinahitaji ushauri
 
Hivi kina dada wenzangu? Mtu ana mke wake na mtoto, unatoka wapi kumwambia unampenda? Unataka nini kama sio laana kwa Mungu? Angekuwa mumeo ungekubali kufanyiwa hivyo? Hivi huwa mnajaribu kuvaa uhalisia wa mwanamke mwenzenu kabla ya kuchepuka na waume zao? Kina dada mbona hivyo?
Na wewe mkaka unaomba ushauri gani huo? Mpaka unamuoa mkeo na kupata mtoto si ulimpenda mkeo, huyo wa nje hana mapenzi kuna kitu ameona kwako ndo anachokitaka na sio upendo bali kuchunwa! Pole sana Mti wa Chuma
 
Fala ww..use ur brain
Mij2 mingi ckuiz inaomba ushaur wa ajabuajabu2

Kwhy ukpendwa na mwngne utaleta hapa??

Na wife je km anasumbuliwa na mwanaume mwngne anaruhusiwa kumkubalia?
 
 
Nashangaa umejiachiaje kwa mwanamke hadi akwambie hayo maneno.
Mwambie huyo dada achukue nafasi ya mkeo.Je ingekuwa ndo mumewe inamtokea ingekuwaje?Au kama vip mkutanishe na mama watoto aombe ruhusa kwake.
 
Yeye kuambiwa anapendwa sana, ashawaza mbali sana... na yeye ampende kirafiki tuu....
 
Hahahaa eti Lwenyi kasema.... U funy
 
Sasa kila siku anakuja ofisini kukupokea nini? Kukulaki? Au kukupokea begi/ briefcase?
Na wewe unakua unamsubiria kwa hamu au?
Umechek na wife anasemaje?
 
Aisee Madam Koku....!
Sasa mtu kama huyu kama siyo kupewa oder anataka nini? ngoja tu tumsaidie akiulizwa unaniacha kwanini apate wa kumsingizia..
hahahaaa kwakweli anahitaji orders tu hamna namna nyingine ya kumsaidia... angalau itaonekana sio yeye kasema 🙂
 
sjui ushauriwe nini...kuwa umkubalieau achananaye au mfukuze au chepuka naye au mwambie mkeo au unataka nini
 
ushauriwe kitu gani mkuu..>>????
 
Shetani anajua sana kudanganya,,,mi nashauri atembee na huo mchepuko...halafu wife naye atafunwe na wengne...Mwishoni kabsa,mchepuko utawapokea wanaume wengne mabegi
 
Kwa uwepo wa wanaume kama hawa ni haki kwa wanawake wasione umuhimu wa kuolewa......
 
hahahaaa kwakweli anahitaji orders tu hamna namna nyingine ya kumsaidia... angalau itaonekana sio yeye kasema 🙂
Kweli kabisa maana inaonekana uoga umemjaa na kutojiamini na wala hajui nini anataka kwenye maisha yake..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…