Ushauri: Mwalimu ila anapenda kusomea masuala ya ufugaji nyuki. Je, afanyeje?

ChamaDola

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
3,431
2,804
Wakuu,
Hapa kwetu kuna nyuki wengi wengi,na wamekuwa sehemu ya maisha yetu!

Mdogo wangu wa pili wa kiume ni mwalimu wa serikali akifundisha sekondari!

Alikuwa na hobby ya kusomea beekeeping,ila marks kwa kipindi kile cha 2012 ziligoma!

Baada ya kuclear cheti chake yuko tayari sasa!
Afanyaje!?

Je, kule serikalini mtumishi kusomea tofauti na kada yake aliyopo sasa inaruhusiwa?

Tufanyeje?
 
Ufugaji nyuki unalipa kiasi gani na soko lake lipo stable na secured? kama kuna soko zuri na ni kitu anachokipenda basi afuate kitu anachokipenda maana atakifanya kwa moyo hivyo atafanikiwa zaidi.. Ila kama soko halieleweki a stick na ualimu tu
 
Mkuu habari,
Nisimgependa niingilie zaid lengo la muhusika. ..ila kifupi kabisa lazima awe amefaulu Biology na Chemistry kwa kiwango cha kuanzia D na kuendelea. ....anaweza omba chuo cha ufugaji nyuki Tabora.
Just for the job sake Nyuki na sayansi za mimea bongo hazilipi. .......tell him to follow the money..
My few cents.
 
Wakuu,
Hapa kwetu kuna nyuki wengi wengi,na wamekuwa sehemu ya maisha yetu!

Mdogo wangu wa pili wa kiume ni mwalimu wa serikali akifundisha sekondari!

Alikuwa na hobby ya kusomea beekeeping,ila marks kwa kipindi kile cha 2012 ziligoma!

Baada ya kuclear cheti chake yuko tayari sasa!
Afanyaje!?

Je, kule serikalini mtumishi kusomea tofauti na kada yake aliyopo sasa inaruhusiwa?

Tufanyeje?
Kuna chuo Tabora ,Beekeeping Training institute kinatoa cert na Diploma
 
Back
Top Bottom