Ushauri: Mume wangu amenikataa baada ya kupunguzwa kazi, kwa madai kwamba alioa mwalimu na si mama wa nyumbani

Na wewe nani alikwambia uwe na vyeti feki, wakati wenzenu wanapiga umande ninyi mnajitia kujua alafu wenzio wa mwanza wamenufaika kwakutokubomolewa nyumba zao sababu tu walimpigia kura mjomba vipi nyie wa vyeti feki hamkumpigia kama mlimpigia basi mkumbusheni awarudishe tu
 
Pole sana, je ni ndoa ya dini gani? kama ni ya Kiislam omba mawaidha ya Shehe, Kama yakikristo omba ushauri wa padri/mchungaji na maombi yapigwe hayo yote yakishindikana nenda mahakamani.
 
Aisee huyo anakutafutia sababu tu ya kukuacha kwani we huwezi kujiajiri kama issue ni kuwa hataki mama wa nyumbani?
 
Mama kesho nenda kwa mwenyekiti wa mtaa wako huko watakupa A-Z ya kudai haki yako. Wala usiwe mnyonge kwasbb hayo yalikuwa mambo ya zamani ya kumwambia mwanamke ondoka lkn kwass kuna haki za wanawake. Haki yako haijapotea 100%. Fanya km nilivyokuambia
 
Hahahhahahahah nimecheka na mengi aiseee kuna wanaume wanapenda your career na sio wewe kama wewe mimi just after uni nikapata sehemu ya intern baaadae nikaacha sababu niliiona hata nikiajiriwa hapo sitopata kile nakihitaji so baada kumwambia bf after 2 weeks nikaanza ona changes nikajua tayar nishaachwa .

Aiseeee mpaka leo swali ninalo lichukia ni what are you doing for a living Mxeeew najibugi mim ni housegirl au kama umeniona maeneo ya kazi nitakamwimbia mimi ni mfanya usafi thu wanagomaga jipange tu mamii things will get better
 
Hahahhahahahah nmecheka na mengi aiseee kuna wanaume wanapenda your career na sio wewe kama wewe ...... mimi just after uni nikapata sehemu ya intern baaadae nikaacha sababu niliiona hata nikiajiriwa hapo sitopata kile nakihitaj so baada kumwambia bf after 2 weeks nkaanza ona changes nikajua tayar nishaachwa ........ Aiseeee mpaka leo swali ninalo lichukia ni what are you doing for a living !!!! Mxeeew najibugi mim ni housegirl au kama umeniona maeneo ya kazi nitakamwimbia mim ni mfanya usafi thu wanagomaga.
Jipange tu mamii things will get better
Haaa haaa umenifurahisha....uko kama Mimi ukiniuliza nafanya nini to survive hata sikujibu, nakuchoraa tuu...

Wanaume wengi wanapenda kazi yako na sio wewe, sasa umenipenda Mimi au kazi yangu! Mxiuuuu......
 
Haaa haaa umenifurahisha....uko kama Mimi ukiniuliza nafanya nini to survive hata sikujibu, nakuchoraa tuu...

Wanaume wengi wanapenda kazi yako na sio wewe, sasa umenipenda Mimi au kazi yangu! Mxiuuuu......

Hilo swali silipendi kabisa ,na kama niliisave namba yake naifuta kabisa afu hawajuagi wanawake sisi ni waropakaji ipo siku nitaongea tu kulalamika so haina haja ya wao kuuuliza such question
 
Back
Top Bottom