charty
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 7,459
- 6,008
Sasa wakimbilia wapi tena mwalii jamani?
duh umenikomesha somo...ngoja nitulie kwenye ndoa maneno kuntuu
Sasa wakimbilia wapi tena mwalii jamani?
Na Mimi Muda Si Mrefu Mke Wangu Kanitamkia Kuwa " HANITAKI " Hivyo Kama Vipi Tutafutane Ili Tuunganishe Mapenzi Yetu Ya MAJONZI.
hivi kuna mume asiye wa ndoa?Mna watoto wangapi? Ni mumeo wandoa?
hivi kuna mume asiye wa ndoa?
kivipi ukawa na mume bila ndoa?kama hamna ndoa hupaswi kumwita mume huyo ni kimada au mzazi mwenziyo tu.japo kwa muda walioishi ni ndoa tayari.Ndiyo...
watoto 3 hatujafunga ndoa
kivipi ukawa na mume bila ndoa?kama hamna ndoa hupaswi kumwita mume huyo ni kimada au mzazi mwenziyo tu.japo kwa muda walioishi ni ndoa tayari.
we jamaa juzi tu umelalamika majirani zako wanakusumbua kwa makelele wakigegedana ,mkeo alikuwa wapi