Ushauri: Mume amenitamkia kuwa hanitaki

Ushauri: Mume amenitamkia kuwa hanitaki

tehamo09

Na Mimi Muda Si Mrefu Mke Wangu Kanitamkia Kuwa " HANITAKI " Hivyo Kama Vipi Tutafutane Ili Tuunganishe Mapenzi Yetu Ya MAJONZI.
 
Last edited by a moderator:
Huyo mwanamume si muoaji na wala hakupendi. Inaonekana ana matatizo ubongoni... yaani ndugu zako kumhimiza aoe ndio liwe kosa la kukuacha? tena huku anakupenda? Eleza vizuri banaaaa umeficha makosa yako.
 
Una mawazo mazuri ya kujenga. Ukweli wake zetu wanatuponza sana wanapokumbatia ndugu zao!!! Ndoa ni ya watu wawili akijumuika wa tatu ni shida sana. Heko kwa ushauri mwanana

Ni kweli Kampelewele hawa wake zetu wanazidisha kueleza kila kitu kwao. Navyoona kaka yetu mkubwa anaona wanapangiwa familia yake na wakwe ndo kuonesha anaboreka. Hivyo mwanamama anatakiw abaki na aplay nafasi yake kama mama na akae na mumewe mbona mambo simple tuu hapo?

Kingine ajifunze kujishusha kama kunatofauti ajue kusikiliza na sio mwanamme apanic na yeye apanic, Apunguze kwenda kwao hata kama ni karibu sio kila la familia unaenda kufanya mdahalo kwao last warning mmewe kampa akae waongee bado nafasi anayo .
 
Pole sana kuna kitu umemtenda sio kawaida angekuwa hakupendi muda wote usingekua nawe
 
tehamo09

knywa panadol...anyway, amekueleza ukweli we ulitakaje?
 
Last edited by a moderator:
Endelea kutafuta suluhu ikishindika basi usilazimishe mapenzi. Ila watoto alee akileta ubishi nenda mbele ya sheria

Tena kama anaondoka wahakikishe wanagawana walivyochuma pamoja, masuala yakurudishana nyuma hapana.

Ukiona mwanamme ndani ya miaka miwili mnaishi hazungumzii kufunga ndoa, jua umelamba galasa.

Japo wakati mwingine ni bora alete mbwembwe wakati hamjafunga kitanzi ndoa, ili kama kuchapa lapa unachapa roho nyeupeeeeeee, kuliko kuleta mbwembwe wakati uko na ndoa hapo kutoka ni sheeeedah!
 
Pole jamani. Nasema poleeee. Samahan kidogo usinichukie. Hivi, si ajab leo jioni ukamshushia pichu yako atiii?? Wanawake mkoje jamani?? Nnani amewaroga? Watoto watatu umezaa na mtu. Hata siku moja tangu ukae naye hujathubutu kumwuliza mnaishi ishi je? Kama mtu na hawara au ka mtu na nani?

Ningekuwa mimi ni weye, nsingaliomba kubariki ndoa ningeomba kuiita jina hiyo ndoa. Zipo hata za kimila. Apeleke tu mahari kwenyu. Kilo ya sukari, majani, na blanketi ya mama. Tosha. Na siku hiyo unawatangazia kweny kuwa weye ni mke wa flani.

Watoto wameandikwa jina la nani? Asikutishe, hawezi kuoa mwingine, tafta sheria. Hili pia nawatangazia nyiye mnaokaa na watoto wa watu ati hamuogopi lolote, ukikaa na mtoto wa watu miaka 2 tu tayari huyo ni mali yako. Ni mkeo wa halal
 
Na Mimi Muda Si Mrefu Mke Wangu Kanitamkia Kuwa " HANITAKI " Hivyo Kama Vipi Tutafutane Ili Tuunganishe Mapenzi Yetu Ya MAJONZI.
KAKA YULE NJEMBA ALIYEKUWA ANAPIGA MZIGO SAA SABA ZA USIKU MPAKA UKASHINDWA KULALA USINGIZI KASHAU:becky:ONDOA HUO MZIGO??
 
watoto 3 hatujafunga ndoa

Ndio maana kapata ujasiri wa kukuacha kirahisi, anajua kama ni watoto atawatunza tu. Muombe sana Mungu atakusaidia na baada ya hapo jaribu kutafuta watu wazima unaoamini anawasikiliza waongee nae (tatizo linakuja kama hata ndugu zenu hawajui), zaidi muombe Mungu tu, maana sio rahisi kumlazimisha mtu akupende. Pole sana.
 
Endelea nae mamii

Mpaka mfikishe watoto 10

Halafu mwenzio anao binti mbichiiiiì

Hawa wanaume muwasome mapemaa kabla hamjazaa


nimeongea naye akaniambia yeye hana tatizo na mimi ila ndugu zangu ndo tatizo kisa wanatupush kila siku tubariki ndoa

Yote nimemueleza ila amekataa kabisa ila nikikaa baada ya muda anajirudi ananiambia ananipenda sana ila hataweza kuishi na mimi

watoto 3 hatujafunga ndoa
 
KAKA YULE NJEMBA ALIYEKUWA ANAPIGA MZIGO SAA SABA ZA USIKU MPAKA UKASHINDWA KULALA USINGIZI KASHAU:becky:ONDOA HUO MZIGO??

Acha Hizo Weye! Duh Watu Mnafuatilia Kila Kitu Cha Gentamycine Humu Jamvini Hadi Sasa Mnanifanya Nianze Kuwaogopeni. Ila Haina Noma.
 
sawa mama terry uje unisaidia ku m~sue huyu wa kwangu maana ndoa imekua chungu: Valentina

Usijetaka itaka harusi kwa pupa..usikimbilie mume ukaukondesha moyo...usijeitaka harusi kwapupaaa
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 1433871682785.jpg
    1433871682785.jpg
    22.6 KB · Views: 100
Back
Top Bottom