egwanchele
Member
- Feb 8, 2017
- 7
- 6
Sawa kabisaSio bure itakuwa na wewe hujipendi.
Na kwa upande mwingine sitaki kuamini maneno yako kwa sababu kwa sisi wanawake kuna umri ukifika ni lazima mwanamke ajipende na sio kwa mavazi bali hata mwili wake kwa ujumla.
Ila wenzio wanmpenda kweli hivyo alivyo...Wakuu habari zenu,
Mimi nina msichana wangu nikajua nitakubadilisha, cha kushangaza nampatia hela ili aweze kwenda Mwenge pale asagule sagule kwenye mitumba lakini mwenzangu ndo hamna kabisa.
Anavaa minguo mibaya kama ya wanaume, mda mwingine nikiwa napita Mwenge naona watu wamependeza kinadada wapo busy na kusagula sagula, natamani hata kuwapa lifti niongee nao.
Najaribu sana kumwambia huyu mpenzi wangu kila mwisho wa mwezi nampa laki 2 asuke anunue vinguo vizuri lakini wapi, mpaka mimi mda mwingine naenda naunua namletea lakini ndo hivyo hata urembo mwenzangu haujui, na mimi napenda mwanamke mrembo wakati namchukua nilijua nitambadilisha ila sasa nanyoosha mikono natamani nimpige tu chini.
Naombeni ushauri.
Hivi bado kuna watu mnaona gari big deal zama hizi? Gari hadi 3m unapata? Mnapenda kusikia stori watu wanapata shida tu mtu akisimulia vitu fulani vidogo nongwa.JF sasa hivi karibu kila mtu ana gari au ndio zile NOAH za makinikia zimeshatoka tuambizane na mimi nikachukue lisijepigwa mnada!
Acha basi. mi mbona sina hivyo vyote na kazi yangu ni kulala ziwani huku gozibaLolote linawezekana jf wote tumezaliwa mjin wote tuna kazi, pesa, wote tumewai kupanda ndege, wote tuna nguvu za kiume magoli6++/4hrs
It is called envy at it's best....na ni mentality ya kipumbavu. Ile ya I don't wanna see other do good than me... SHMHivi bado kuna watu mnaona gari big deal zama hizi? Gari hadi 3m unapata? Mnapenda kusikia stori watu wanapata shida tu mtu akisimulia vitu fulani vidogo nongwa.
Pm nikupe ushauriWakuu habari zenu,
Mimi nina msichana wangu nikajua nitakubadilisha, cha kushangaza nampatia hela ili aweze kwenda Mwenge pale asagule sagule kwenye mitumba lakini mwenzangu ndo hamna kabisa.
Anavaa minguo mibaya kama ya wanaume, mda mwingine nikiwa napita Mwenge naona watu wamependeza kinadada wapo busy na kusagula sagula, natamani hata kuwapa lifti niongee nao.
Najaribu sana kumwambia huyu mpenzi wangu kila mwisho wa mwezi nampa laki 2 asuke anunue vinguo vizuri lakini wapi, mpaka mimi mda mwingine naenda naunua namletea lakini ndo hivyo hata urembo mwenzangu haujui, na mimi napenda mwanamke mrembo wakati namchukua nilijua nitambadilisha ila sasa nanyoosha mikono natamani nimpige tu chini.
Naombeni ushauri.
duuuUkimuoa atakuja kukuvalia misuruali yako huyo kuwa naye makini sana
eti msichana wangu......kweli kabisa unampenda unamtuma akainamishe kiuno kusagula......pumabafu sana wewe.....ulipompenda ulimkutaje???? ila jua moja......kuna walume wanamsubiria umrembe...... then utajua kizuri chetu....kibaya chako.....