[emoji23][emoji23][emoji23]poleee muachee tu ivyo ivyo akiwa mrembo utaibiwa..Wakuu habari zenu,
Mimi nina msichana wangu nikajua nitakubadilisha, cha kushangaza nampatia hela ili aweze kwenda Mwenge pale asagule sagule kwenye mitumba lakini mwenzangu ndo hamna kabisa.
Anavaa minguo mibaya kama ya wanaume, mda mwingine nikiwa napita Mwenge naona watu wamependeza kinadada wapo busy na kusagula sagula, natamani hata kuwapa lifti niongee nao.
Najaribu sana kumwambia huyu mpenzi wangu kila mwisho wa mwezi nampa laki 2 asuke anunue vinguo vizuri lakini wapi, mpaka mimi mda mwingine naenda naunua namletea lakini ndo hivyo hata urembo mwenzangu haujui, na mimi napenda mwanamke mrembo wakati namchukua nilijua nitambadilisha ila sasa nanyoosha mikono natamani nimpige tu chini.
Naombeni ushauri.
Lolote linawezekana jf wote tumezaliwa mjin wote tuna kazi, pesa, wote tumewai kupanda ndege, wote tuna nguvu za kiume magoli6++/4hrsJF sasa hivi karibu kila mtu ana gari au ndio zile NOAH za makinikia zimeshatoka tuambizane na mimi nikachukue lisijepigwa mnada!
Wakuu habari zenu,