Sasa wewe umemfungia Dada wa watu nyumbani kwako unategemea nini ?! Kama hautaki kumsaidia mpatie likizo hata week Moja! Akirudi angalia kama atakutega tena.. ! Kama hauwezi kutoa hiyo likizo haunabudi zaidi ya kumpatia haki yake... Sawa ?!Nimehisi labda tumekaa nae miaka miwili hajakutana kimwili ..joto lipo juu
bas mfukuzeMashine mkuu tena. Nalinda heshma ya ndoa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] haki gani Mkuu hiyo zaid ya kumpa mshaharaSasa wewe umemfungia Dada wa watu nyumbani kwako unategemea nini ?! Kama hautaki kumsaidia mpatie likizo hata week Moja! Akirudi angalia kama atakutega tena.. ! Kama hauwezi kutoa hiyo likizo haunabudi zaidi ya kumpatia haki yake... Sawa ?!
Kwa tamaduni zetu house girl huita waajiri wake baba na mama. Sasa kama mtu anayekuita baba anakutega kweli wewe unaweza kulea familia kwa maadili kweli?Ndio maana nkaja uku kuomba ushauri.
ha ha ha ha mkuu unajua principal za kina mama? ma house girl siku zote wanaletwa ambao hawamzid landlordkama ana shape nzuri kuliko mkewe je
Una miaka mingapi?Naombeni ushauri jamani nipo njia panda,
House girl wangu ananitega sana kwani mimi huwa nawahi kurudi kwenye mihangaiko, tatizo linakuja huwa anashinda na kanga moja tu. Kila siku nakemea pepo la kumtaka.
Nifanyaje maana maji yapo shingoni na mimi bado kijana mwili unachemka.
Ushauri please
kujua unachoongea,uenda bado ni Teen, nikajua nashauri mtu mwenye umri mkubwa..Miaka itakusaidia nn
Hivi haiwezekani hii kitu eeh?
Nimepata wazo la kumtimua , Leo kaniamkia na kanga moja bila kufuli ndani , naona shetani ananizdshia majaribuinawezekana lakini inategemea na mzingira sasa huna mtoto mchanga, huna mgonjwa nyumbani, kinachokurudisha mapema ni nini? ndo maana nikasema ukitaka kujiepusha na vi kesi vya kipuuzi kama baba chelewa kurudi home ili mkeo apambane navyo ndio kazi yake hiyo
Nimepata wazo la kumtimua , Leo kaniamkia na kanga moja bila kufuli ndani , naona shetani ananizdshia majaribu
Mkuu kama una mama mtu mzima anayejitambua kufanya kaz nitafutie, hivi vsichana vina mapepo
Kila binadamu mtu mzima anahaki ya kupewa penzi.. ! Alimradi avunji sheria.... ! [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] haki gani Mkuu hiyo zaid ya kumpa mshahara
huyo Dada aniletee mm huku[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kila binadamu mtu mzima anahaki ya kupewa penzi.. ! Alimradi avunji sheria.... ! [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Seriously mkuu mpatie haki yake huyo mdada ! Ukishindwa mpe hata likizo tena iwe na posho kabisa.. ! Au kiona hauwezi yote ! Mkaribishe Mdogo wako wa kiume nyumbani akusaidie kazi.. !