Ushauri: Msichana anadai nimembaka ndotoni

Wakuu naomba mnisaidie kwa hili kuna demu mmoja nimezoeana nae sana sasa hivi cku za karibun anadai nimembaka ndotoni na toka ameota hyo ndoto nimebaka imepita kama wiki mbili demu ataki kunisemesha anataka nimuombe msamaha kwa sababu nimembaka ndotoni na mimi nimekataa kuomba msamaha maana hamna nilichomfanya kama kumbaka sijawahi kumbaka nimfanyaje huyu demu ili asahau hiyo ndoto maana kila siku ananitxt nimembaka alafu cha kushangaza anawaambia rafiki zake wasionge na mimi eti nitawabaka ndoton hicho ndo kisa kilichonikuta
[emoji39] ss inabidi umwambie afate ndoto yake ili mambo yakwende mukide (mega baba maisha yenyewe tight[emoji52] [emoji11] [emoji6] )
 
Kama ni kweli kakuambia hivyo chukua hatua ya kupiga mashine tena porini siyo gesti shenz zenu
 
Wakuu naomba mnisaidie kwa hili kuna demu mmoja nimezoeana nae sana sasa hivi cku za karibun anadai nimembaka ndotoni na toka ameota hyo ndoto nimebaka imepita kama wiki mbili demu ataki kunisemesha anataka nimuombe msamaha kwa sababu nimembaka ndotoni na mimi nimekataa kuomba msamaha maana hamna nilichomfanya kama kumbaka sijawahi kumbaka nimfanyaje huyu demu ili asahau hiyo ndoto maana kila siku ananitxt nimembaka alafu cha kushangaza anawaambia rafiki zake wasionge na mimi eti nitawabaka ndoton hicho ndo kisa kilichonikuta
Ameshakufungulia mashtaka?
 
Mwambie ukweli tu,huenda ulitumia ndumba nangai kumbaka.
 
Yaani ingekuwa unavyoota ndoto na demu ulie muota nae kwa waqt huo huo nae anaota ndoto kama weye basi mambo mengi yangerahisishwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom