IbrahimTechNerd
Member
- Aug 4, 2021
- 60
- 55
Mimi ni kijana mwenye miaka 23, nilisoma chuo ngazi ya cheti course ya Computer Science mwaka 2018, tokea nikiwa mdogo ni mpenzi sana wa masuala ya Technology!. Lengo lilikuwa kusoma mpaka degree lakini kwa matatizo ya kifamilia nikashindwa kuendelea mbele ata diploma!. Mwaka 2019 nilianza kumsaidia kaka yangu katika Library ambayo ilikuwa ni kama yetu wote. mwaka 2020 mwishoni nilifungua Library yangu mwenyewe maana niliona ni vyema nikianza kujijenga mwenyewe kibiashara hivyo nikiwa na laptop yangu pamoja na mtaji wa dvd kadhaa nilifungua Library yangu ambayo nikitoa huduma za kuuza cd, kutengeneza simu ( software e.g ku flash simu, kutoa password/frp lock) pamoja computer services ( software and hardware installation and maintenance ).
Kutokana na biashara kuwa mbaya sana upande wangu Mwezi mmoja na nusu uliopita nilichukua cheti changu nikatengeza CV ili kutafuta kazi!. Nilijua cheti changu ni cha elimu ya chini mno lakini G.P.A yangu ya 4.17 ilinipa moyo!. Baada ya msako wa kazi kwa wiki 2 nilikosa nafasi ( sikupata ata interview) lakini nilipata nafasi moja ya kujitolea katika ofisi ya manispaa ambako baada ya vijana wengi wa field kuwepo ofisi ile niliamishiwa ofisi ya Mkuu wa Mkoa!. Nilianza kazi pale na hii ni wiki ya 3 sasa bado nipo pale! Naenda asubuhi na nikitoka ile jion naenda Library kutafuta chochote kitu!. Hali sio nzuri ndio maana nimeona niombe Ushauri kwenu ndugu zangu kama kuna kazi pia mnisaidie..
Japo nina elimu ya ngazi ya cheti lakini niko vizuri kwenye computer Software na hardware installations, troubleshooting na maintenance.. pia katika masuala ya technology ni fast learner !!. Naweza kua It assistant!!. I'm confident in English Language!. Pia bado najifunza web development ( self teaching) kwasababu nina ndoto za kuwa front end developer or full stack kama Mungu akinijaalia ( I'm confident in HTML and CSS na currently najifunza Java script )...
Nitangulize Asante kwa wote watakao toa Mawazo na Ushauri!.