Ushauri: Mpenzi wangu amenisaliti

mi nashindwa kuelewa unakuta msg ya mwanaume ya kimapenzi bado unaomba ushauri?????upi hasa???????MUACHE MARA MOJA
 

msamehe bana si kosa la kwanza? akirudia tema
 

afu rekebisha kiswahili? utasemaje bwana wa nje wakati wew hujamuoa? na wew ni wa nje. ungesema bwana mwingine
 
Piga chini wanawake wapo kibao huyo siyo riziki!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
unataka ushauri wa kupuliza kondom ka maputo?? kama mm hapo sinyati ni nduk naacha vumbi tu....
 
Kachonge wa pekee yako. Ushukuru amekumbuka na ndom.
 

wewe usimuache endelea nae tu.Kwani kinachokuuma zaidi nini.Kufanya kafanywa yy ww shida yako nn.Kwani mlipotongozana mlitushirikisha?Ww unamaamuzi kichwani mwako wala usitudanganye hapa.Hata mtu akushauri vp kwenye hayo maswala ila mwisho wa iky maamuzi utayatoa ww.kama kweli ulihitaji ushauri fuata huo nilokupa.
 
Kama wewe hugongi nje mteme...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…