Vitaimana
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 3,531
- 1,570
Tena atoke mbio kama Filbert bay!Hapo hakuna mapenzi mwambie akimbie mbiooo la sivyo atakuja kujutaa

Nina rafiki, anaomba ushauri.
Ana boyfrend wake ambae yeye anampenda sana lakini issue in hii sasa.
mkaka anamwambia mdada kuwa anampenda lakini kuna yafuatayo ambayo yanamuumiza best wangu;
1.Mkaka hataki watu wajue kuwa ana mahusiano na huyu dada sasa mapenzi yao yapo kwa siri.
2. Mdada analalamika kuwa wakiwa wanasex, mkaka hataki kumwongelesha na akimaliza tu haja yake anamtegea mgongo. Mda mwingne mdada akimgusa mpenzi wake, anasonywa na mkaka husema amechoka ana usingizi.
3. Mkaka amemuahidi mdada kuwa atamuoa. Lakini huyu dada hana uhakika.
Sasa jamani, mie huwa siwezi kushauri mambo ya mahusiano, naombeni mnisaidie ili nimsaidie rafiki yangu kwa shida hii alionayo. Please.
Kifupi jamaa anamtumia tu ana mpango nae so asilazimisheNina rafiki, anaomba ushauri.
Ana boyfrend wake ambae yeye anampenda sana lakini issue in hii sasa.
mkaka anamwambia mdada kuwa anampenda lakini kuna yafuatayo ambayo yanamuumiza best wangu;
1.Mkaka hataki watu wajue kuwa ana mahusiano na huyu dada sasa mapenzi yao yapo kwa siri.
2. Mdada analalamika kuwa wakiwa wanasex, mkaka hataki kumwongelesha na akimaliza tu haja yake anamtegea mgongo. Mda mwingne mdada akimgusa mpenzi wake, anasonywa na mkaka husema amechoka ana usingizi.
3. Mkaka amemuahidi mdada kuwa atamuoa. Lakini huyu dada hana uhakika.
Sasa jamani, mie huwa siwezi kushauri mambo ya mahusiano, naombeni mnisaidie ili nimsaidie rafiki yangu kwa shida hii alionayo. Please.
Haswaaaaa Uso was nyokaHuyo Dada anatumiwa tu na hapendwi na huyo jamaa. Jamaa anajiona ana class fulani huku dada akiwa wa low class,ndio maana hataki aonekane nae maana atamchafua isipokuwa shida yake ni kutimiziwa haja za kimwili.
Kwa kifupi dada asepe maana hata ndoa hapo ni hadithi.
una akili wewe mwaahLet's assume jamaa atamuoa kweli, kuna maana gani kuwa kwenye uhusiano/ndoa ambayo huna furaha? Maana mpaka hapo ni kwamba mwanamke Hana amani yani yupo tu kwasababu kapewa ahadi ya ndoa
Mnapenda sana ndoa kiasi kwamba mnakuwa vipofu wa kutojua maana ya ndoa.
Kifupi ni kwamba jamaa anamtumia. Mtu unayempenda huwezi kumsonya baada ya mechi, huwezi kuwa msiri hata rafiki yako mmoja wa karibu asimjue unaye tarajia kumuoa
Huyo jamaa ni jipu
The guy is just using her, anamshikilia kwa hiyo ahadi hewa ya ndoa ili amtumie vizuri mpk atakapoamua kumuacha...Nina rafiki, anaomba ushauri.
Ana boyfrend wake ambae yeye anampenda sana lakini issue in hii sasa.
mkaka anamwambia mdada kuwa anampenda lakini kuna yafuatayo ambayo yanamuumiza best wangu;
1.Mkaka hataki watu wajue kuwa ana mahusiano na huyu dada sasa mapenzi yao yapo kwa siri.
2. Mdada analalamika kuwa wakiwa wanasex, mkaka hataki kumwongelesha na akimaliza tu haja yake anamtegea mgongo. Mda mwingne mdada akimgusa mpenzi wake, anasonywa na mkaka husema amechoka ana usingizi.
3. Mkaka amemuahidi mdada kuwa atamuoa. Lakini huyu dada hana uhakika.
Sasa jamani, mie huwa siwezi kushauri mambo ya mahusiano, naombeni mnisaidie ili nimsaidie rafiki yangu kwa shida hii alionayo. Please.
Ukishaona huna amani katika mahusiano yako 60% we chapa lapa tu
U r right my dear...Life is too short Vale. Kutokuwa na amani kwa 40% katika mahusiano peke yake ni parefu..
U r right my dear...
Amani na furaha ya moyo wako ni vitu muhimu sana