Huyo shogako ana sound very desperate,kwani ana miaka mingapi mpaka huyo jamaa akamsugua ROHO yake?
Mwambie raha ya mapenzi muelewane mpendane sio lazima ijue dunia nzima lakini jamaa zako au jamaa zake kama friends
wajue au ana Maradhi watu wanamguna ndio mana anataka siri au wewe haupo kwenye expectation yake hufai kua mwanamke wake? Jiamini kua wewe ni mwanamke na utapata anaejua thamani yako,muombe mungu akupe mwenye kheir na wewe lakini huyo ulonae sisemi kua sio mwanamme lakini sio type yako....