Vivac
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 475
- 480
Nina rafiki, anaomba ushauri.
Ana boyfrend wake ambae yeye anampenda sana lakini issue in hii sasa.
mkaka anamwambia mdada kuwa anampenda lakini kuna yafuatayo ambayo yanamuumiza best wangu;
1.Mkaka hataki watu wajue kuwa ana mahusiano na huyu dada sasa mapenzi yao yapo kwa siri.
2. Mdada analalamika kuwa wakiwa wanasex, mkaka hataki kumwongelesha na akimaliza tu haja yake anamtegea mgongo. Mda mwingne mdada akimgusa mpenzi wake, anasonywa na mkaka husema amechoka ana usingizi.
3. Mkaka amemuahidi mdada kuwa atamuoa. Lakini huyu dada hana uhakika.
Sasa jamani, mie huwa siwezi kushauri mambo ya mahusiano, naombeni mnisaidie ili nimsaidie rafiki yangu kwa shida hii alionayo. Please.