USHAURI: Moyo wangu umetekwa na mwanafunzi

USHAURI: Moyo wangu umetekwa na mwanafunzi

Kama kichwa cha habari kinavyo sema,nimetokea kumpenda binti mmoja ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha pili.

Binti huyo tulianza kuonana pale alipokuja anauza vitumbua kwenye kijiwe ninacho fanyia kazi miaka miwili iliyopita,basi kuanzia kipindi hicho nikawa mteja wake wa vitumbua.

Nimekuwa nikimchukulia kama mdogo wangu na ananiheshimu kweli kama kaka yake,lakini Siku za hivi karibuni nimejishangaa naanza kumpenda huyo binti,kingine pamoja na ujuwaji wangu wote lakini Siku hizi tukikutana huwa ninakosa ujasiri.

Kiukweli Mimi huyo binti sishindwi kumpata lakini nina sita sana kwa sababu kati ya kitu ambacho sikipendi ni kuwa ana uhusano na mwanafunzi.

Sio kwamba ninaogopa jera pekee hapana,lakini na mimi nina wadogo wangu wa kike nao wana soma kama huyo binti.

Kuna msemo mmoja unasema usimtendee wenzio jambo ambalo we we hutaki utendewe,na ni kweli Mimi nimekuwa nikiwasihi wadogo zangu kuepukana na hayo mambo wakiwa bado ni wanafunzi.

Lakini kila nikijitahidi kujitoa kwenye huu mtego ninashidwa,huwezi amini eti kuna kipindi huwa ninakosa usingizi kwa sababu ya huyo binti.

Ninaamini jf kuna watu mbalimbali wenye uwezo wa kunishauri ili niondokane na huu mtego wa mapenzi.
jitazame kwenye kioo na ujiambie kabisaaa moyo wako uachane na mambo ya kipuuzi.
 
una ham ya kuinuliwa wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tapatalk_1564928660401.jpeg
 
Kama kichwa cha habari kinavyo sema,nimetokea kumpenda binti mmoja ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha pili.

Binti huyo tulianza kuonana pale alipokuja anauza vitumbua kwenye kijiwe ninacho fanyia kazi miaka miwili iliyopita,basi kuanzia kipindi hicho nikawa mteja wake wa vitumbua.

Nimekuwa nikimchukulia kama mdogo wangu na ananiheshimu kweli kama kaka yake,lakini Siku za hivi karibuni nimejishangaa naanza kumpenda huyo binti,kingine pamoja na ujuwaji wangu wote lakini Siku hizi tukikutana huwa ninakosa ujasiri.

Kiukweli Mimi huyo binti sishindwi kumpata lakini nina sita sana kwa sababu kati ya kitu ambacho sikipendi ni kuwa ana uhusano na mwanafunzi.

Sio kwamba ninaogopa jera pekee hapana,lakini na mimi nina wadogo wangu wa kike nao wana soma kama huyo binti.

Kuna msemo mmoja unasema usimtendee wenzio jambo ambalo we we hutaki utendewe,na ni kweli Mimi nimekuwa nikiwasihi wadogo zangu kuepukana na hayo mambo wakiwa bado ni wanafunzi.

Lakini kila nikijitahidi kujitoa kwenye huu mtego ninashidwa,huwezi amini eti kuna kipindi huwa ninakosa usingizi kwa sababu ya huyo binti.

Ninaamini jf kuna watu mbalimbali wenye uwezo wa kunishauri ili niondokane na huu mtego wa mapenzi.
yaani kweli unakuja huku unataka ushauri unaoujua hata ww ? acha tamaa, acha dhambi, acha uboya, acha use*nge na huo ufala usiuendekeze.
 
Jiandae miaka 30 jela, na ukiwa huko na wewe utapendwa kama ulivyompenda mtoto wa watu!

Yaani infatuation ya mtoto wa shule wewe unaichukula serious? Hiyo ni sehemu ya kukua, sio mapenzi. Kesho atakusahau kwa kuwa atakuwa na feelings kwa mwalimu wake wa English kwa kuwa anapenda anavyotamka sentensi "for example" akiwa anafundisha!

NB: Infantuation = Infatuation or being smitten is the state of being carried away by an unreasoned passion, usually towards another person for whom one has developed strong romantic or platonic feelings.
atajifanya haelewi
 
Ukiwa na uwezo wa kuwakagua mabinti wote Tanzania wa kati ya miaka 17 na 13 ukibahatika kupata bikra 100 katoe fungu la kumi kanisani.

Sasa huwa wanatolewaje tolewaje wakati kuna hii sharia kali ya miaka 30 Jela?

Hivi viungo vya siri vina siri kubwa....achana na kitu mtu anacho kila aendako afu eti umlinde weee!!
 
Mara nyingi huwa tunajadili hapa kuwa wanaofungwa kwa kutembea/kuwapa ujauzito wanafunzi wanaonewa sana ila kuanzia leo inabidi nianze kuunga mkono juhudi za mahakama kuwafunga wapuuzi kama nyie.Yani hizo hormones umeshindwa kabisa kuzi-control?.Hapo hakuna cha kumpenda zaidi ya tamaa yako ya ngono tu ndo inayokupeleka puta."Eee mungu baba,naomba huyu mdau mpuuzi ampe mimba mwanafunzi kisha afungwe.Pokea maombi yangu eee baba.AMINA"
tena ajibiwe leo leo na Mungu
 
Kula tu uku umeweka silent mode.. Usi sahau kutumia kinga
 
Muamini msiamini ,MAPENZI HAYANA ADABU

Watu hapa wanajifanya hawalijui hilo. Kupenda ni upofu, utashauriwa weeee, lakini kama umekolea mahali mzee wa miaka 70 atakubali kuitwa "baby" na binti wa miaka 18. Huyu ndugu yetu tumuombee apate uvumilivu hadi binti wa form two afikie majority age (18) as long sio mwanafunzi wa shule ya msingi.
 
Back
Top Bottom