USHAURI: Moyo wangu umetekwa na mwanafunzi

Me nakisia kilichokuvutia kwahuyo mwanafunzi nikifua (chuchu saa6) hakuna kingine hapo
 
Jiandae miaka 30 jela, na ukiwa huko na wewe utapendwa kama ulivyompenda mtoto wa watu!

Yaani infatuation ya mtoto wa shule wewe unaichukula serious? Hiyo ni sehemu ya kukua, sio mapenzi. Kesho atakusahau kwa kuwa atakuwa na feelings kwa mwalimu wake wa English kwa kuwa anapenda anavyotamka sentensi "for example" akiwa anafundisha!

NB: Infantuation = Infatuation or being smitten is the state of being carried away by an unreasoned passion, usually towards another person for whom one has developed strong romantic or platonic feelings.

Ninakazia points zako mkuu
 
Mwambie unampenda lkn pia upo tayari kumsubiria amalize masomo yake na kama kweli wewe ni mtu wa kujizuia na una nia nae basi hapo tena suala la ‘sex’ futilia mbali mpaka awe huru na masomo yake

Wangu nilianza kuishi nae anasoma A level na mpaka sasa tuna familia na tupo muongo mmoja na zaidi kubwa ni nyie kupangilia mambo yenu na udhati uwepo sio iwe ni tamaa ya mwili umuharibie bint mustakabari wake
Huu ushauri upo makini sana!!
 
Kama kichwa cha habari kinavyo sema,nimetokea kumpenda binti mmoja ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha pili.

Binti huyo tulianza kuonana pale alipokuja anauza vitumbua kwenye kijiwe ninacho fanyia kazi miaka miwili iliyopita,basi kuanzia kipindi hicho nikawa mteja wake wa vitumbua.

Nimekuwa nikimchukulia kama mdogo wangu na ananiheshimu kweli kama kaka yake,lakini Siku za hivi karibuni nimejishangaa naanza kumpenda huyo binti,kingine pamoja na ujuwaji wangu wote lakini Siku hizi tukikutana huwa ninakosa ujasiri.

Kiukweli Mimi huyo binti sishindwi kumpata lakini nina sita sana kwa sababu kati ya kitu ambacho sikipendi ni kuwa ana uhusano na mwanafunzi.

Sio kwamba ninaogopa jera pekee hapana,lakini na mimi nina wadogo wangu wa kike nao wana soma kama huyo binti.

Kuna msemo mmoja unasema usimtendee wenzio jambo ambalo we we hutaki utendewe,na ni kweli Mimi nimekuwa nikiwasihi wadogo zangu kuepukana na hayo mambo wakiwa bado ni wanafunzi.

Lakini kila nikijitahidi kujitoa kwenye huu mtego ninashidwa,huwezi amini eti kuna kipindi huwa ninakosa usingizi kwa sababu ya huyo binti.

Ninaamini jf kuna watu mbalimbali wenye uwezo wa kunishauri ili niondokane na huu mtego wa mapenzi.
USIUGEMEE MLANGO WA GEREZA MAANA HAUNA LOCK UTAANGUKA.
 
Wewe unajishughulisha na kazi gani? ukinijibu ntakupa ushauri
 
Tukio hili lilitokea wapi,muda gani, na vipi limesharipotiwa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama? Huo moyo ulikuwa nje ya kiwili wili kabla ya kutekwa ama mtajwa aliingia ndani ya kidari kuunyofoa?
 
Tujue wote ka kupenda sio hisia ni maamuzi, sasa mzee turn maamuzi yako....
 
Ni sawa na kuweka asali katika chumba cha watoto huu ushauri, inshu ni tujue kupenda ni maamuzi na sio hisia, kwahiyo jamaa aamue tu kama anahitaji kuwa na huyo msichana au otherwise...hisia huwa tunazingizia tu ktk swala la kupenda!
Mwambie unampenda lkn pia upo tayari kumsubiria amalize masomo yake na kama kweli wewe ni mtu wa kujizuia na una nia nae basi hapo tena suala la ‘sex’ futilia mbali mpaka awe huru na masomo yake

Wangu nilianza kuishi nae anasoma A level na mpaka sasa tuna familia na tupo muongo mmoja na zaidi kubwa ni nyie kupangilia mambo yenu na udhati uwepo sio iwe ni tamaa ya mwili umuharibie bint mustakabari wake
 
Mara nyingi huwa tunajadili hapa kuwa wanaofungwa kwa kutembea/kuwapa ujauzito wanafunzi wanaonewa sana ila kuanzia leo inabidi nianze kuunga mkono juhudi za mahakama kuwafunga wapuuzi kama nyie.Yani hizo hormones umeshindwa kabisa kuzi-control?.Hapo hakuna cha kumpenda zaidi ya tamaa yako ya ngono tu ndo inayokupeleka puta."Eee mungu baba,naomba huyu mdau mpuuzi ampe mimba mwanafunzi kisha afungwe.Pokea maombi yangu eee baba.AMINA"
Aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tendea moyo haki yake mkuu, 30 mchana na usiku 15 tu, kwanini uteseke uraiani mkuu[emoji23][emoji23]
 
Kama kichwa cha habari kinavyo sema,nimetokea kumpenda binti mmoja ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha pili.

Binti huyo tulianza kuonana pale alipokuja anauza vitumbua kwenye kijiwe ninacho fanyia kazi miaka miwili iliyopita,basi kuanzia kipindi hicho nikawa mteja wake wa vitumbua.

Nimekuwa nikimchukulia kama mdogo wangu na ananiheshimu kweli kama kaka yake,lakini Siku za hivi karibuni nimejishangaa naanza kumpenda huyo binti,kingine pamoja na ujuwaji wangu wote lakini Siku hizi tukikutana huwa ninakosa ujasiri.

Kiukweli Mimi huyo binti sishindwi kumpata lakini nina sita sana kwa sababu kati ya kitu ambacho sikipendi ni kuwa ana uhusano na mwanafunzi.

Sio kwamba ninaogopa jera pekee hapana,lakini na mimi nina wadogo wangu wa kike nao wana soma kama huyo binti.

Kuna msemo mmoja unasema usimtendee wenzio jambo ambalo we we hutaki utendewe,na ni kweli Mimi nimekuwa nikiwasihi wadogo zangu kuepukana na hayo mambo wakiwa bado ni wanafunzi.

Lakini kila nikijitahidi kujitoa kwenye huu mtego ninashidwa,huwezi amini eti kuna kipindi huwa ninakosa usingizi kwa sababu ya huyo binti.

Ninaamini jf kuna watu mbalimbali wenye uwezo wa kunishauri ili niondokane na huu mtego wa mapenzi.
Hujaelezea vizuri,ni mwanafunzi wa aina gani?
 
Back
Top Bottom