Human Papiloma Virus
Member
- May 20, 2017
- 73
- 166
Mpaka hapo bado hujui kosa ulilofanya?Wakuu salamu kwenu.
Naandika uzi huu kifua kikiwaka moto kwa hasira.
Iko hivi nina mke mwajiriwa, tumefunga ndoa na tuna watoto.
Ni muda sasa tunaishi mbalimbali kiasi kutokana na inshu za kikazi. Ila siku za nyuma nilikua na utaratibu wa kutembelea familia (mke na watoto) na kupeana haki zetu za ndoa na mke wangu.
Mwishoni mwa mwaka jana tukaingia kwenye migogoro kidogo nikakata mguu kwenda kuwaona.
Ila mawasiliano yalikua yanaendelea vizuri japo ya kusua sua. Nikaanza kupata taarifa mke wangu ameanza kugawa mbususu kwa vijana .
Hapo mgogoro ukazidi kupamba moto. Likizo kaja kagoma kunipa mzigo.
Sasa hivi majuzi katika kuchat chat nikamwambia nitakuja kukucheck soon maana muda kidogo hatujakutana. Mke kanitamkia wazi nikienda sitamkuta maana yeye amepata hawara mwingine anaempa amani ya moyo.
Nikiangalia sijamfanyia kosa lolote la kufikia yeye kusaliti ndoa.
Je nimfanyaje huyu mtu maana natamani kwenda kumfanyia kitu kibaya ila nimeona nitulie kwanza.
Ushauri tafadhali.
Kumuacha nafikiri ndo suluhisho pekeeKosa la kwanza kususa tupu ya mkeo wa ndoa. Wanaume hatususi punani za wake zetu.
Kosa la pili unadhamiria kwenda kumfanyia kitu kibaya. Migogoro haisuluhishwi kwa mtutu wa bunduki.
Amua moja kati ya kumuacha au kuvumilia kut***mbewa
Mkuu, tuseme kusoma hujui, kweli hata picha huwezi kuona?Mke kanitamkia wazi nikienda sitamkuta maana yeye amepata hawara mwingine anaempa amani ya moyo.
Ushauri wako upi sasa mkuu?Kimsingi wewe ndio chanzo
Nimejitahidi sana na hata haya masuala yaliyoibuka ya kuambiwa ana mtu tayari nimwache aendelee na huyo aliempata nilikua katika hatua ya kuleta suluhu tuendelee na maisha ya kujenga familia ila mwenzangu ndo kaamua hivyo.Sitetei ujinga wa mkeo lkn kwa nini uliacha au kupunguza utaratibu wa kwenda kuona familia? Watoto wako sasa vipi hawakuoni baba yao? Rudisha familia ulipo au hamia uko alipo mkeo
Bora muachane kila mtu aende na hamsini zake kuliko kulipizia kisasi halafu kikakufikisha pabaya. Hasira hazina adabu hata kidogo.Kumuacha nafikiri ndo suluhisho pekee
Nakushauri soma kitabu kinaitwa "Alfu lela u lela", kabla hujakimaliza utafahamu cha kufanya.Wakuu salamu kwenu.
Naandika uzi huu kifua kikiwaka moto kwa hasira.
Iko hivi nina mke mwajiriwa, tumefunga ndoa na tuna watoto.
Ni muda sasa tunaishi mbalimbali kiasi kutokana na inshu za kikazi. Ila siku za nyuma nilikua na utaratibu wa kutembelea familia (mke na watoto) na kupeana haki zetu za ndoa na mke wangu.
Mwishoni mwa mwaka jana tukaingia kwenye migogoro kidogo nikakata mguu kwenda kuwaona.
Ila mawasiliano yalikua yanaendelea vizuri japo ya kusua sua. Nikaanza kupata taarifa mke wangu ameanza kugawa mbususu kwa vijana .
Hapo mgogoro ukazidi kupamba moto. Likizo kaja kagoma kunipa mzigo.
Sasa hivi majuzi katika kuchat chat nikamwambia nitakuja kukucheck soon maana muda kidogo hatujakutana. Mke kanitamkia wazi nikienda sitamkuta maana yeye amepata hawara mwingine anaempa amani ya moyo.
Nikiangalia sijamfanyia kosa lolote la kufikia yeye kusaliti ndoa.
Je nimfanyaje huyu mtu maana natamani kwenda kumfanyia kitu kibaya ila nimeona nitulie kwanza.
Ushauri tafadhali.
Asante kwa ushauri, taratibu napata relief moyoni. Ni dharau kubwa kweli na nlimwambia iki ulichonitamkia ni dharau ya hali ya juu. But ni muda mrefu sijawahi kupata furaha kwa huyu mwanamke. Nilipata furaha kipindi namlea hana kazi ila alipopata kazi baada ya muda ndipo furaha nae ikaanza kupotea taratibu maana kuna mambo alikua ananifanyia mimi kama mwanaume nliona hayako sawa. Sasa naona nikizidi kumng'ang'ania ni kama napoteza muda wangu na kushindwa kusonga mbele kimaendeleo ya maisha.Bora muachane kila mtu aende na hamsini zake kuliko kulipizia kisasi halafu kikakufikisha pabaya. Hasira hazina adabu hata kidogo.
Hivyo alivyoamua kukuambia hivyo kwa ujeuri (naamini hivyo) kuwa hatakuwepo bali atakuwa kwa hawara yake ni dharau kubwa sana kwenye ndoa na ameamua liwalo na liwe.
Malumbano yenu yote lakini hakikisheni watoto unawashughulikia ipasavyo na wala usifanye chuki nao.
Lakini je na wewe umekuwa msafi na huchepuki? Au mkuki kwa nguruwe?
Muone kiongozi wako wa dini
Kuna kipindi alianza utaratibu wa kudai talaka nahisi baada ya kukutana na huyo kijanaNakushauri soma kitabu kinaitwa "Alfu lela u lela", kabla hujakimaliza utafahamu cha kufanya.
Hayajaanza leo wala jana hayo.
Kiislam hapo ni talaka tu. Sifahamu imani yako.
Wakuu salamu kwenu.
Naandika uzi huu kifua kikiwaka moto kwa hasira.
Iko hivi nina mke mwajiriwa, tumefunga ndoa na tuna watoto.
Ni muda sasa tunaishi mbalimbali kiasi kutokana na inshu za kikazi. Ila siku za nyuma nilikua na utaratibu wa kutembelea familia (mke na watoto) na kupeana haki zetu za ndoa na mke wangu.
Mwishoni mwa mwaka jana tukaingia kwenye migogoro kidogo nikakata mguu kwenda kuwaona.
Ila mawasiliano yalikua yanaendelea vizuri japo ya kusua sua. Nikaanza kupata taarifa mke wangu ameanza kugawa mbususu kwa vijana .
Hapo mgogoro ukazidi kupamba moto. Likizo kaja kagoma kunipa mzigo.
Sasa hivi majuzi katika kuchat chat nikamwambia nitakuja kukucheck soon maana muda kidogo hatujakutana. Mke kanitamkia wazi nikienda sitamkuta maana yeye amepata hawara mwingine anaempa amani ya moyo.
Nikiangalia sijamfanyia kosa lolote la kufikia yeye kusaliti ndoa.
Je nimfanyaje huyu mtu maana natamani kwenda kumfanyia kitu kibaya ila nimeona nitulie kwanza.
Ushauri tafadhali.
Watoto wangapi? Tupa kule. Angalia maisha yako na watoto.Wakuu salamu kwenu.