dullynho
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 348
- 240
cheo.cha ngap sky?Tena hii wiki moja ni kwasababu watu wako makazini. Zamani ulikaa miezi mitatu kwa kungwi
cheo.cha ngap sky?Tena hii wiki moja ni kwasababu watu wako makazini. Zamani ulikaa miezi mitatu kwa kungwi
unifunde na mm!Tena hii wiki moja ni kwasababu watu wako makazini. Zamani ulikaa miezi mitatu kwa kungwi
hahahahaMkuu mahari inakuuma
Kamshtaki kwa mzazi wako sio wake....
Karibu mkuuun
unifunde na mm!
Hahahaha nikarbie uwanja upi KUNGWI km mwalim Prof.!Karibu mkuu
Mashallah 3leikOmba ushirikiano na matron wake wa ndoa. Kule kwetu unapewa kungwi na wiki moja kabla ya ndoa unawekwa ndani ukisingwa huku ukifundiswa mambo ya ndoa.

wadau wapo wengi unaona cfa na Masha Allah!Kwamtogole
halaf raha ya JF waweza kuwa my c* upo chumba cha 2!LOLKwamtogole