Heshima kwenu wakuu wa jukwaa hili,
Ni kama miezi mitatu imepita tangu nimefunga ndoa na mke wangu.
Tatizo nililonalo, mke wangu huwa kama vile hataki tufanye, nilitegemea kwa upya wa ndoa hii walau kila baada ya siku mbili nipate kukidhi haja ya mwili kwa tendo lile takatifu lakini inafikia inapita hata siku sita.
Ukimuuliza anasema amechoka na kazi zake za mchana, ukimuomba asubui ni chenga chenga tu, haijawahi kutokea hata siku moja yeye awe muanzilishi wa tendo kila wakati ni mimi tuu, hii nayo inanipa wasiwasi.
Wakuu naombeni ushauri maana sasa naanza kufikiria kuchepuka kitu ambacho sijwahi kupanga maishani mwangu.