Wakuu nina miaka 6 kazini, lakini naona hata nikiacha kazi leo sina future wala hela ya kula mwezi mmoja.
Nilianza na mshahara wa laki 6 leo nina mshahara wa 2.9M lakini hadi leo sina project wala uwekezaji wowote.
Nimeishia kujenga nyumba mbili tu moja kijijini nyingine mjini na zote hazijakamilika yaani zimepauliwa tu zikaishia hapo hapo.
Sijui nakosea wapi mshahara ukitoka haumalizi siku moja unakatika...madeni, bills na changamoto za ndugu.
Nilianzisha kibiashara ya consultation niliishia kupata mteja mmoja tu hadi leo hamna.
Wakuu nifanyaje maana sioni mbele na familia inazidi kukua...
Sina gari, sinywi pombe na sina uraibu wa aina yoyote hata mademu pia...ila pesa ndo hamna muda wote
Mkuu hii ni basi, take home inakuja karibia 1 point something milioniMkuu 2.9Ml ni basic au take home
Ebu fafanua ili ushauriwe vizuri
Watu wasijeanza kuipigia hesabu 2.9M kukushauri kumne hiyo ni basic
Ebu fafanua kidogo,baada ya makato unabakiwa na kiasi gani?
Wakuu nina miaka 6 kazini, lakini naona hata nikiacha kazi leo sina future wala hela ya kula mwezi mmoja.
Nilianza na mshahara wa laki 6 leo nina mshahara wa 2.9M lakini hadi leo sina project wala uwekezaji wowote.
Nimeishia kujenga nyumba mbili tu moja kijijini nyingine mjini na zote hazijakamilika yaani zimepauliwa tu zikaishia hapo hapo.
Sijui nakosea wapi mshahara ukitoka haumalizi siku moja unakatika...madeni, bills na changamoto za ndugu.
Nilianzisha kibiashara ya consultation niliishia kupata mteja mmoja tu hadi leo hamna.
Wakuu nifanyaje maana sioni mbele na familia inazidi kukua...
Sina gari, sinywi pombe na sina uraibu wa aina yoyote hata mademu pia...ila pesa ndo hamna muda wote
Swali langu la kwanza mkuu, una mkopo katika taasisi yoyote?Wakuu nina miaka 6 kazini, lakini naona hata nikiacha kazi leo sina future wala hela ya kula mwezi mmoja.
Nilianza na mshahara wa laki 6 leo nina mshahara wa 2.9M lakini hadi leo sina project wala uwekezaji wowote.
Nimeishia kujenga nyumba mbili tu moja kijijini nyingine mjini na zote hazijakamilika yaani zimepauliwa tu zikaishia hapo hapo.
Sijui nakosea wapi mshahara ukitoka haumalizi siku moja unakatika...madeni, bills na changamoto za ndugu.
Nilianzisha kibiashara ya consultation niliishia kupata mteja mmoja tu hadi leo hamna.
Wakuu nifanyaje maana sioni mbele na familia inazidi kukua...
Sina gari, sinywi pombe na sina uraibu wa aina yoyote hata mademu pia...ila pesa ndo hamna muda wote
Mkuu nakuja PMUtakua umerogwa wanakuharibu mkono then pesa inakua inapita tu haikai mkononi, hatua ya pili wanakusukumia kwenye mnyonyoro wa madeni yasiyoisha, kwa asieelewa lazima atapinga tu, binafsi hilo tatizo lilinisumbua kwa muda mrefu pesa haikai madeni mengi mipango mizuri lakini ukianza utekelezaji inafeli huku lawana kibao kwa ndugu na marafiki kwamba pesa unapeleka wapi? Tafuta Fundi mzuri amalize tatizo vinginezo hata ulipwe milion kumi kwa mwez hutafanya lolote la maana"watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"