Amesomea mambo ya afya. Sasa atajiajiri vipi ktk sekta hii? Unajua bei ya vifaa tiba wewe? Mwenyewe kasema kuwa ana laki 2 tuKama unapenda ulichosomea nadhani itakua vyema kujiendeleza kupitia hicho kuliko kuanza career mpya.
Hapo ulipo tayar una mtaji wa ujuzi ulopata chuoni.
Ushauri: Tafuta jinsi ya kuendeleza career yako.