GE2025 Ushauri mfupi na muhimu kwa CCM na Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,986
Reaction score
13,485
Nawashauri CCM na Samia kusitisha uchaguzi, kupendekeza iundwe serikali ya mpito ikiongozwa na jaji Warioba, kuwaomba radhi watanzania na kutubia ili mambo yaishe. Mmeshindwa, mmekataliwa na mmeona wenyewe. Shukrani kama mtasikiliza na kuzingatia ushauri huu mfupi na muhimu katika wakati huu ambapo mmeliweka taifa kwenye balaa tokana na laana ya kung'ang'ania madaraka wakati hamna udhu wala uwezo wa kutawala. Power comes from the people, and the voice of the people is the voice of God. Mwenye macho ajionee na mwenye masikio akisikie huku mwenye akili atie maanani. Game over mom.
 
Angalau umewaambia... Nilisha wahi kusema humu kitambo maana 14 July 2025 (Rais Samia, fikiria hatua sahihi kwa maslahi ya Taifa na familia yako) taabu hii niliiona lakini wapi, wakakanyaga twende, na sasa ndio haya... Tunapo elekea itakuwa nikazi ya kuwindana tu na kuchomeana majumba na maduka... Janjaweed kaingia mjini, Interahamwe wako njiani na Boko Haram inajiandaa, ni ajabu sana CCM bado wako fofofo... Ladba ni mpaka Gen Z waende kumsalimia mzee wa Gombe ndio wataondoka usingizini...
 
Back
Top Bottom