Ushauri: Meshack Nzowa wa MagicFM jiandae kabla ya kufanya kipindi

Wasikilizeni na watangazaji wa PRAISE POWER FM ile radio ya mama mbeba maono wanaotangaza kipindi cha magazetini saa 07:30AM mpate uhondo yani kama walifika la 12 Darasa bac kazi ipo

Yani wale ndio ***** tu
Hata mada zao hawajui kupangilia.
Kwa kifupi pale hakuna waangazaji kaweka wapiga porojo wasiojitambua
 

huyu gerald hando....kuna siku nilimwona live....daa jamaaa ana sura mbayaaaaaaaaa.........yani hata sio handsome:flypig:
 
hahahaaaaa!

baadhi ya watangazaji ninaowaheshimu sana kwa kazi zao

  1. Masoud Kipanya (wa timesfm) - huyu jamaa anajua sana!
  2. Anorld Kayanda (wa clouds)
  3. Fina Mango (wa magic)
  4. Sebo (wa magic)
  5. Michael (wa magic)
  6. Fadhili Haule (wa capital radio)



hawa wote......hawamfikiiiiii
1.arhony joseph......................wapo radio huyu jamaa anajua sana
2.rita chuwalo......wapo radio mpo juuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…