Ushauri mdogo sana kwa vyombo vya dola hasa askari Polisi

88782456fa82795a6f3089efcf1165f1.jpg
 
Watekeleze na agizo la kungo'a na matairi ya gari wanazozikamata...(kwa kutaja machache).
 
Unawatishia au unawaataarifu? Pole na haya ya siasa ila ndio maisha. Ungewapigia pia au kuwatumia meseji, au hutaki wajue upo wapi?
 
Sawa ila nikuulize,mtuhumiwa wa mauaji ya Mwangosi leo hii yuko wapi?Wewe hapo unamdaidia nini?
Dogo jana ulilalamika kwamba uwapotezee pro-CCM mbona mpaka sasa unafuatilia Serikali ya CCM? Kwanini usiendelee na kuongelea issue zenu za BAVICHA, BAWACHA na UKAWA.

Au kuna kitu zaidi unakitafuta? Nakusihi fuata ushauri wako wa jana.
 
Zero brain!!!!!Ukipotosha kwa makusudi siwezi kukuacha ila ukini-provoke ndio nitakupotezea
 
Mafunzo yenu ndio msaada wenu,ndio kinga yenu na ndio mafanikio yenu.
Mbona umechelewa sana kulishauri hili?. Hakuna jipya hapo, yote ni yale yale ambayo askari wanafanya kila siku. Labda ungeshauri wajambazi watafute kazi halali za kufanya vinginevyo askari watawanyang'anya silaha zao.
 
Mwambieni basi atoe maagizo ya maandishi.
 
Back
Top Bottom