Nimedate na huyu dada kwa miaka 5 sasa toka 1st year nikiwa UDSM.
Mimi ndiye niliyemtoa usichana wake tukiwa mwaka wa pili chuoni huku nikimuhaidi nitakua naye milele.
Alichukua damu yake iliyokua inamtoka kwa wakati ule akanipakaa shavuni huku akinena maneno haya.
#Huyu ndiye mume wangu na endapo atanisaliti basi akumbane na majanga yakiwepo magonjwa na misukosuko ya maisha # mwisho wa kunukuu.
Kwa kipindi kile sikuona shida juu ya hicho kiapo kwani nilikua nampenda sana.
Sasa tatizo limekuja sina mapenzi naye tena nataka ku move on (nilishaambiwa na mama usimuoe mtu usiyempenda kisa umemuonea huruma).
Tatizo linalonitatiza ni kile kiapo alichoniapisha wandugu.
Swali langu je ni kweli?
Au matisho tu?
wewe unastahili kupata majanga makubwa tu
yani umemchezea kwa miaka yote hiyo alafu unakuja kusema huna mapenzi nae? c ni wewe ndo umesema umemzimikia sasa umezinduka au?
Mtose tu.....we tokalin mwanaume rijali ukawa na demu mmoja....hata nature inakataa ....we chukua mwingune na hakuna lolote
Kuchezewa kivipi?
Hii kauli sijui wanamaanisha nini? .Kwani kazi ya ile kitu toka uumabaji wake kazi yake ni nini?.
Five good years leo huna mapenzi nae na majanga yakukute tu
kumbe na wewe ndo wale wale
umesha pita na wangapi hadi sasa???
Huyo MSHANA ndo mganga wa kuondoa hili balaa au?
Evelyn Salt
Ulipomtoa usichana akageuka mvulana!!
Ha ha ha ha
Wewe unamini nini mkuu?
Kama unamini kwenye hivo viapo ni wazi utapatwa na misuko suko ila kama haumini hizo imani basi utaishi pouwaa tu
Lakin kiapo cha damu mhhh ngoja aje mkuu Mshana Jr