Ushauri!Mapenzi yanamtesa dada yangu!

Ngoja waje wataalam, lakini nikiangalia tangia mda ambao umejiunga humu,umepokea likes 24,wewe hujatoa hata moja.Tukianzia hapo,inawezekana mna asili fulani ya uchoyo!Samahani lakini.

MKuu,vipi kama yuko via mobile.
 
Tofauti ya m'ke na m'ume-m'ke anatumia sex kupata mapenzi,mwanaume anatumia mapenzi kupata sex!!
 
au anapendelea masharo wasio na nia ya kuoa coz ni mhongaji mzuri?!!
 
Hakuna kinachomshind MUNGU..Aombe kwa dhati na kwa imani atasaidika.
 
huwezi kutafuta suluhisho la tatizo bila kujua chanzo chake. ingependeza kama angekuwa ameweka wazi walau sababu za hao kukmtema inaweza kutoa picha ya kujua chanzo cha tatizo ili kishughulikiwe.
 
Asante sana!

In life try to be natural!!
 
Hahaha hapana dada angu coz wote anatoka nao wamemzidi kifedha!mi sielewi shida ni nin!

In life try to be natural!!
 
Amtumainie Mungu, siku moja atampa ubavu wa ubavu wake.
 
cuchi,

Huyu my siste wako anatakiwa aanze kujipenda mwenyewe kwanza ili watu wengine wampende.

Mfikishie huu ujumbe.
 
kwani lazima awe na mwanaume?

Mwambie ajithamini na kujipenda mwenyewe
Acha kumdanganya mwenzio wewe. Wewe Mbona una linjemba. Ameshajipenda vya kutosha ndio anatafuta wa kushare nae Hilo penzi.
 
dah,yaani anahangaikiwa kutiwa!kazi kwel kweli
 
nina dada yng umri 30 na ana maisha yake!ila shida ni hajawah dumu kwenye mapenzi zaidi ya miez 6 au 8 kila nwanaume anayetoka naye lazima amuache!
Hahahahaha haina haja ya samahan coz imenibidi tu nicheke!ila sio wachoyo sisi

Nimekubali siyo wachoyo nyie, kwani sister mwenyewe anaonekana kisha toka na wengi.
 
Nimekubali siyo wachoyo nyie, kwani sister mwenyewe anaonekana kisha toka na wengi.


kutoka na wengi sio sababu ya yeye kuchelewa kuolewa, binafsi hata sikumbuki kuwa nilitoka na wangapi, ila nilipochumbiwa mtarajiwa wangu hakuniiuliza kama nilitoka na wangapi, nilifanya mara ngapi..., mbona machangudoa wanaolewa, tumeshuhudia makahaba wakifunga ndoa... sembuse huyo binti Sayuni?
 
Mwambie avute subira wakwake atakuja tena mwaka huu kabla haujaisha.
 
hahaa eti asili ya uchoyo kwahiyo dada kanyima nn yeye
 

Labda bed wetting au jasho la kwapa hizi nazo zinakuwaga noma sana!
 
Naomba nimshauri dada kama ifuatavyo:
Kwanza anaonekana kama mtu aliyekata tamaa, pili anafikiri kuolewa ndio umeyaweza maisha na tatu anapelekeshwa na maneno ya jamii inayomzunguka. Hivyo naomba nimwambie kwamba kwa kuwa ameshakata tamaa hivyo huwa anakurupuka kuingia kwenye mahusiano. Asifikiri kuwa kila mwanaume atakayemwambia 'nakupenda' basi anamaanisha. Namshauri aendelee na maisha yake najua ni ngumu kwa sasa kwa kuwa tayari jambo hilo limeshaharibu akili yake. Siku akija kuolewa atakumbuka 'single life' maana ndoa nazo ni changamaoto. Kwa hiyo ajipe raha to the maximum ndoa ipo tu Wa kufanana naye yupo ila awe subira.
 
binafsi hata sikumbuki kuwa nilitoka na wangapi, ila nilipochumbiwa mtarajiwa wangu hakuniiuliza kama nilitoka na wangapi, nilifanya mara ngapi..., mbona machangudoa wanaolewa, tumeshuhudia makahaba wakifunga ndoa... sembuse huyo binti Sayuni?

Kwahiyo inawezekana ukatongozwa tena na baadhi ya uliotoka nao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…