Ngoja waje wataalam, lakini nikiangalia tangia mda ambao umejiunga humu,umepokea likes 24,wewe hujatoa hata moja.Tukianzia hapo,inawezekana mna asili fulani ya uchoyo!Samahani lakini.

Habari wana jamii! Naombeni ushauri wenu nina dada yng umri 30 na ana maisha yake!ila shida ni hajawah dumu kwenye mapenzi zaidi ya miez 6 au 8 kila nwanaume anayetoka naye lazima amuache!Amefanya kila kitu kuna kipindi alihisi labda hajui kitu kitandan akatafuta hawa makugwi akafundishwa ila bdo hali ni ile ile,tukasema labda ni jini mahaba ila kaombewa sana tu ila hamna madiliko hii kitu inamuumiza kiasi cha kwamba alikunywa sumu sababu haoni thamani ya mwili wake!Nahofia siku nitakayotaka kuolewa mimi anaweza kufa kwa kweli!Sijui shida ni aina ya wanaume anaokuwa nao,au kweli ni pepo mi hata sielewi!Nishaurini plz kwasababu chozi lake ni linanikosesha amani!
Wewe unaogopa kuolewa kwanza kwa sababu dada yako bado?
Ungetupa maelezo zaidi kuhusu dada yako na huwa ana date watu wa namna gani?
Vinginevyo ngumu kumshauri maana hatujui wapi anakosea.
Ngoja waje wataalam, lakini nikiangalia tangia mda ambao umejiunga humu,umepokea likes 24,wewe hujatoa hata moja.Tukianzia hapo,inawezekana mna asili fulani ya uchoyo!Samahani lakini.
Hapa kuna vitu vya kuangalia kwanzaHabari wana jamii! Naombeni ushauri wenu nina dada yng umri 30 na ana maisha yake!ila shida ni hajawah dumu kwenye mapenzi zaidi ya miez 6 au 8 kila nwanaume anayetoka naye lazima amuache!Amefanya kila kitu kuna kipindi alihisi labda hajui kitu kitandan akatafuta hawa makugwi akafundishwa ila bdo hali ni ile ile,tukasema labda ni jini mahaba ila kaombewa sana tu ila hamna madiliko hii kitu inamuumiza kiasi cha kwamba alikunywa sumu sababu haoni thamani ya mwili wake!Nahofia siku nitakayotaka kuolewa mimi anaweza kufa kwa kweli!Sijui shida ni aina ya wanaume anaokuwa nao,au kweli ni pepo mi hata sielewi!Nishaurini plz kwasababu chozi lake ni linanikosesha amani!
Naomba nikushauri jambo moja:
km unaomba ushauri hususan kwa watu ambao huwafahamu vyema mfano wengi wetu wa hapa jf, ni vyema ukawa unatiririka hata background za huyo nduguyo zinazohusu masuala mbalimbali za kimapenzi, maana mapenzi yana mambo mengi sana, ili imsaidie mtu kufanya analysis vizuri vinginevyo utajikuta kuwa unapokea vipisi vya ushauri badala ya mzigo mzima wa ushauri sababu wewe ndo umekuja kuomba ushauri ukiwa nusunusu, na pengine ukaishia kuulizwa vipisi vya maswali lengo ni mshauri apate picha nzima ya background, mfano tazama huyo wa kwanza ameangalia "like" yako tu akaconclude kuwa nyie ni wachoyo!
Hapa kuna vitu vya kuangalia kwanza
Katika ya hizo sababu yawezekana anazo na akiwa nazo mbili hadi tatu ni tatizo mfano ni kikojozi huyu awezi kuishi namtu hasa kwa wanaume wasasa wasiojua kumvumilia mtu!Yawezekana anapesa,elimu kubwa,madaraka vyote anataka kuvionyesha kwa mwanaume,hili nalo nitatizo kuu,Mimi ninaona nimengi ilitakiwa uweke nini wasifu wake tungeweza kukwambia labda nini kinachomfanya awe hivyo!!
- umri wake ukoje??
- je Body structure yake ikoje
- Heshima kw ampenzi wake ikoje
- Je anakipato kiasi gani??
- Je elimu yake ikoje?
- Madaraka yake yakoje??
- Je anamatatizo gani ya kiafya nikiwana maana kuwa yawezekana anatatizolakiafya mfano ananuka mdomo,ananuka kwapa,ananuka mashine nk
- Je anamatatizo yoyote kisaikolojia,ya wezekana anakujoa kitandani,Yawezekana ni mchafu uvunguni mwake!
- Au ni mshamba hajui kuvaa
- au ni aambiliki!
- Au ni mjivuni??

Natamani sana nimshauri lakini nashindwa kujua tatizo lake la msingi. Njia pekee ya mimi kujua tatizo lake ni kumtest ili nijue anapungukuwa nini. Hebu niPM namba yake...Ndo tulivyoa ambiwa ila mimi mwenyewe sielew