Ushauri mapenzi ya mbali yananizingua

Kaka ni kweli umejuaje kwamba hawa watu wanazingua?Anyway n utani tu najua wake wanapatikana huko home ndio maana nilijaribu hii. Usijali napotea taratibu.
 
Angekuwa mke wako sawa,inakuwaje unamghalamikia Gf namna hiyo,acha kutoa pesa ili uone kama ana mapenzi ya kweli ama vipi.
 
Make a decision kwa haraka huyo anamtu mwingine! Anataka pesa zako tu!
 
kaka huna chako hapo, tafuta hifadhi yakudumu.
 
Akili mkichwa kaka! fungua macho mapema kabla hujaibiwa zaidi.
 
doa hilooooooooooooooooo
anataka umuwezeshe tu
a.k.a ATM
take care
 
Mwambie afanye kile ambacho ni sahihi kwa ajili yenu anapokaidi mpige chini wanawake wengi wakitendewa mema hufanya kinyume on return..... mi nshajifunza sana kwa hawa watu kama haelewi unampotezea mazima mbona warembo kibao akhaaaaaaaa
 

Angalia kwenye red colour. Nna wasiwasi kama unajua hata anachosomea vilevile acha udhalilishaji wa kikabila mkuu (red ya pili). Mkuu utachunwa mpaka ukome kuringa, na usikute wenzio wanatumbua hela unayoituma. Hivi kuna watu wasomi ambao ni wazito kuelewa kiasi hicho? Kifupi unaliwa mkuu!
 

Du wachagga mwaka huu mboni tutajibeba!!!Enewei................
Gajungi:
Kama mwenzio amefiwa na baba yake na wewe unao uwezo wa kumsaidia shida mbili/ tatu, what's the big deal? Truthfully speaking to me you sound like, kwakuwa umetoa hizo hela , you somehow feel entitled to her life and what not! Yaani you want her to bend over backwards, na kunyenyekewa fulani hivi!! You seem to expect that her everything should be you!!!. e,g nimempa hela ya simu, hajamshukuru kaka...blah blah blah. We si umesha pitia maisha ya chuo,??So you should know that there's more to life than catering to one's bf needs...ie Kusoma, lectures to attend, assignments, exam to worry about and so on!
 
Ni pm email yake au account yake ya facebook alafu nimpige saundi akiingia bila kuniambia upo wewe au akasema hajawahi kuwa na mpenzi nadhani hiyo itakuwa visibility outcome then you will need to let her go.
 
kaa usome wewe elimu ni ufunguo wa maisha..we badala ya kusoma unahangaika na midege isiyoliwa....
 
mdelete mkuu! mademu wengi wa chuo mcharuko tu!
 
jombaa huyo ni kunguru hafugiki utapoteza mda wako
 
Tukushauri nini angalia maelezo yako huyo ni dunga embe na kama sijakosea wewe ni Micro ATM na sijakosea tena kusema ni wa Udsm.

ina maana malaya wa hapa bongo wako udsm 2,wee vp?
 
Hapo hakuna kitu angalia usije ambulia magonjwa bure
 
Kati ya watu wote ww unaangalia pande zote, lakini angalia na uwe fair ,katika kipindi chote hichi hajawahi hata kutuma sms ya kunijulia hali,yaani kipindi chote si likizo wala kipindi cha shule. Kingine kinachonifanya niogope ni huko kuibiwa halafu baadaye nikamkuta kaolewa na wengine au akaniletea magonjwa and such sorts. Mimi sipendi kunyenyekewa ,just normal care is enough.hata hiyo kidogo hana. Na wanasema kushukuru ni kuomba mara ya pili au shukuru kwa kila jambo. Nisingependa kujifanya mtakatifu wakati sio,nami ni binadamu sitaki stress maana siajumbwa kuteseka,kama yy ameshindwa majukumu natafuta anayecare after all nisingependa kubembeleza kupita kiasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…