Ushauri, maoni yenu wanajamvi

Ushauri, maoni yenu wanajamvi

Wewe humkumbuki vizuri; nae pia hakukumbuki hata umekaajekaaje...
lakini mnapendana sana!

Hongereni sana!
 
Kwani mkuu huyo ndio mwanamke wa kwanza kukutana nae jaman ebu jiamini tu usiogope muone wa kawaida tu sababu bado hamjazoeana kihivyo

Hakunaga manjonjo zaidi ya story kunywa na kula mkimaliza mrudishe hivyo yaan au kama una mihela yako mpe hela tu sawa mkuu jiamini bana
 
hahahah shoga labda kisu kikali anaogopa kukipoteza! lol.. ampelekee sehem decent km anaendana na wadhifa huo! ale anywe!,,hahaha sio nafika hotelini unauliza had bei ya soda !ptu
 
Kama uko Dar, zama Mwenge pale ukamnunulie raba moja au moka moja saafi. Pia mfungie vitu vya kutafuna tafuna kama chocolate, biscuts za eat some more n.k... Pia kabla hamjakutana mchek kwenye simu umtumie elfu ishirini ya kukodi bajaji. Mkikutana itakuwa ni bashasha mwanzo, mwisho...
Ha ha ha haa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahah shoga labda kisu kikali anaogopa kukipoteza! lol.. ampelekee sehem decent km anaendana na wadhifa huo! ale anywe!,,hahaha sio nafika hotelini unauliza had bei ya soda !ptu
Ahahhh ujue ameshaanza kumuogopa huyo demu hapo tu hawajakutana wakikutana je nawaza tu atakuwa domo zege mkuu nisamehe kwa hii kauli kama nimekukwaza ila jiamini bana be a man uwe wa kawaida usiogope kitu
 
nakweli wanakuwaga domo zege.. hahaha had raha..
 
hahahah shoga labda kisu kikali anaogopa kukipoteza! lol.. ampelekee sehem decent km anaendana na wadhifa huo! ale anywe!,,hahaha sio nafika hotelini unauliza had bei ya soda !ptu
Ha ha haa! She isn't of the caliber u're trying to think she is of or vest her with. She's high cultured, anyway. Kwa hiyo nitamtendea haki yake accordingly... Ha haa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnunulie chakula kitamu.Wanawake wanapenda sana msosi.Usishangae hata mkikutana saa kumi jioni akaagiza chakula.
 
Back
Top Bottom