INAUZWA Mashine za kutotoleshea vifarangaa(incubator machine)

Dec 11, 2021
37
30
OFAA OFAA ya machine za kutotoleshea vifarangaa kuanzia mayai 16 mpaka mayai 30000 Nk

Baada ya kilio cha muda mrefuu kwa wafugaji na baadhii yao kukata tamaa na kushindwa kuendlea na ufugaji kutokana na garama za maisha na uendeshaji wa mradii JEFF AGRICULTURE FARM tunatoaa punguzo la 15% kwa mfanyaa biashara na mfugaji.

Ewe mfugaji na mfanyaa biashara chakaa la mafanikio ndio hilii tumia fursa hii kutatua changamoto zako za ufugaji na kupata mara dufuu zaidi.

JEFF AGRICULTURE FARM machine zetu ni toleo jipya kabisa la mwaka 2022 zenye sifaa zifuatazo

1.NI HARD BOARD
2.ZINATUNZA JOTO MASAA 12+
3.FULL AUTOMATIC
4.ZINAKULA UMEME KIDOGO SANAA

NB:UKINUNUA MASHINE KWETU UTAPEWA NA DARASA LA UFUGAJII BUREE KABISA BILA MALIPOO

0744344949 /0658344949

images.jpg
images%20(3).jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom