Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,578
- 12,444
No way! No matter how busy you are, you will always have time for your lady, even 1 hour, kama anapenda mchat kila wakati that is another issue... but angalau hata kuongea kwa simu for 10 minutes it's worth it for someone you love, don't you think?Huu Uzi unanigusa 100%
Tena Ni wiki sasa kaninunia anadai Niko bize Sana.
Na Ni kweli Niko bize sana, ila kinachoniweka bize Ni muhimu zaidi kuliko mahusiano yake.
NIMESHAMJIBU KWAMBA;
Siwez kuharibu nnachokiangaikia for the sake of this relationship.
Kama hawez kunivumilia kwa kipind hiki, Basi achape mwendo. FULL STOP
Unakosema kinategemea na MAZINGIRA husika.No way! No matter how busy you are, you will always have time for your lady, even 1 hour, kama anapenda mchat kila wakati that is another issue... but angalau hata kuongea kwa simu for 10 minutes it's worth it for someone you love, don't you think?
Sent from my SM-S9 using JamiiForums mobile app
Unakosema kinategemea na MAZINGIRA husika.
Wengine sisi sehem zetu za kazi Ni ndani ndani uko maporini.
Eneo la kazi Network hamna kabisa, tunatumia rediocall.
Ukitaka kuongea na SIMU, inakubidi usafiri km 15 kwa baiskel au mguu kuikuta centre
(sehem kulikochangamka) ambako mtandao unashika.
Mtu unatafta Riziki ktk mazngira magumu na Yee mwnyw analijua,
Afu anajitoa TU ufaham, umpeti peti mda wa kusaka pesa eti anatishia kuniacha.
Shwaini kabisa
Nmemwambia live,
Kama hawez vumilia miez 3 iishe Basi AKWENDE ZAKE UKO. PUMBAV ZAKE.
Serious mkuuEt radio call haha