Ushauri: Mahusiano na mpenzi aliye ‘busy’ muda wote

Ukiona mpenzi wako yupo bize sana kiasi cha kwamba hawezi kutenga muda wa kuwa na wewe tambua ya kwamba yupo katika page nyingine ya mahusiano au kuna mazingira anayatengeza ya kukukwepa tuu ushauli wangu jiongezee tuu hapo

Mimi upande wangu niliwahi kupitia hio situation na mpenzi wangu wa sasa lakini nilivyoonaga ana ubizee mwingi basi nami mimi nikajibizeee mpka ikafikia pointi week inapita hatuwasiliana ilibidi aniulize kulikoni siku hizi mbona umebadilika?? Nikamwelezea how bize am na kazi zangu kama alivyo yeye tangu siku ile alibadilika mazima ubize ukatoweka sometime kuna umuhimu wa kubadilika
 
Eti yupo busy? Chooni anatuma nani aende kwa niaba yake? Aisee sipendi huo ujinga nasikiaga kinyaaa.

Kwa kifupi hakupendi anataka ujiongeze usepe.

Hivi jiulize, analala kazini? Muda wa kulala anakosa kukutumia hata sms? Vip asubuhi wakati wa kuamka si ndo muda wa kukujulia hali?
Vipi hali chakula? Haongei na ndugu zake?

Acha kujishushia heshima, acha kumpa kiburi ajione yeye ndo NEC, nawe mpotezee.

Mimi huo upuuzi ulishawahi tokea miaka fulani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sasa hivi ukiniletea shobo najibu pale pale, nikikutumia sms good 9t au yeyote wewe jifanye hujibu uone kama ntakutafuta tena. Mpaka utakapojibu na mm ndo nakujulia hali.

Nafanya kazi silali njaa kwa nini jiteseke nitume sms 5 ujibu moja? Hizo ni zalau .

Dear mleta uzi dont be cheap.muoneshe kuwa na wewe uko busy kama alivyo busy.

Au wewe ndo wale wanawake wanajiita " siwezi kuishi bila wewe? Akifa utazikwa nae?

Ukiona mwanaume hajakutafuta zaidi ya siku mbili wewe sepa kimyaaaa kwan sh ngapi?
Siyo fair kushauri mwenzako aachane na mwenzi wake.

Kuwa single ni ulemavu
 
Vipaumbele vyako na vyake vinapokuwa tofauti inamaanisha malengo yako na yake pia ni tofauti..

Waweza kuwa unalenga ndoa karibuni,mwenzio analenga kufika hatua flani kiuchumi kwanza..

Kama ndivyo ilivyo kwako na yeye basi hakuna atakayembadilisha mwenzie ZAIDI YA WEWE KUWA MVUMILIVU kama kweli u"nampenda sana"
Upo sahihi brother umeongea kwa niaba yangu,hiki ndicho kinanikuta mim mtu wangu haelewi ye anataka mda wote nimtafute mi nipo napambana mda mwingine naweza kuwa nimetulia ila nawaza nifanyaje hapa ili nitoboe
 
Ukiona mpenzi wako anakwambia yupo bize hata sms hakutumii wala simu hakupigia lakini unamuona online anabadili status whatspp lakini yanapita Na ikifika usiku unamsikilizia mpaka saa 7 usiku hajakutafuta unatakiwa urudi hatua tatu nyuma na kujiuliza maswali haya

Mpenzi wangu anapoamka asubuhi hadi mchana simu yake ina maana anashidwa kukuliza umeamkaje au kukuliza siku yako inasemaje

Je inapofika usiku kuanzia saa tatu hadi saa sita usiku muda huu wote anashidwa kukutafuta kukuliza kuhusu siku yako ilikuweje au imekwendaje

Je usipomtafuta anakutafuta na akikutafuta mazungumzo yenu ni ya muda gani na je akikutumia sms ipo katika muundo gani au ndo zile gu9t ,mi nalala kesho alafu ukipiga simu unaikuta iko bizee

Kwa kifupi nimeshawahi kupitia hii situations ila mwisho wa siku nilikuja kuachwa ila mwisho wa siku niligundua mpenzi wako anapokwambia yupo bize sana na mambo yake hapo anakuandaa kisaikolojia muachane kwa amani
 
Huwa anakutumia na ya kutolea?

That's all matters [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nina mpenzi wangu huyo nampenda sana ila sielewi nifanyeje muda wote yee yupo bizee hata muda wa kunitafuta kunipigia anaukosa imefika hatua hata ule muda wa kunitafuta anaukosa.

Nifanyeje jmn hiii hali inaniumiza kweliii hii Hali inaniumiza.
Hujakomaa kimapenzi wewe, Mimi na mama yako mdogo tukitafutana tu, ujue ni derby ya ngonoka inatokea
 
Nina mpenzi wangu huyo nampenda sana ila sielewi nifanyeje muda wote yee yupo bizee hata muda wa kunitafuta kunipigia anaukosa imefika hatua hata ule muda wa kunitafuta anaukosa.

Nifanyeje jmn hiii hali inaniumiza kweliii hii Hali inaniumiza.
Tatizo lako tukiwa wote unataka nikutombe kila saa, nachoka jamani nachokaaaa
 
Eti yupo busy? Chooni anatuma nani aende kwa niaba yake? Aisee sipendi huo ujinga nasikiaga kinyaaa.

Kwa kifupi hakupendi anataka ujiongeze usepe.

Hivi jiulize, analala kazini? Muda wa kulala anakosa kukutumia hata sms? Vip asubuhi wakati wa kuamka si ndo muda wa kukujulia hali?
Vipi hali chakula? Haongei na ndugu zake?

Acha kujishushia heshima, acha kumpa kiburi ajione yeye ndo NEC, nawe mpotezee.

Mimi huo upuuzi ulishawahi tokea miaka fulani 😀😀😀😀😀

Sasa hivi ukiniletea shobo najibu pale pale, nikikutumia sms good 9t au yeyote wewe jifanye hujibu uone kama ntakutafuta tena. Mpaka utakapojibu na mm ndo nakujulia hali.

Nafanya kazi silali njaa kwa nini jiteseke nitume sms 5 ujibu moja? Hizo ni zalau .

Dear mleta uzi dont be cheap.muoneshe kuwa na wewe uko busy kama alivyo busy.

Au wewe ndo wale wanawake wanajiita " siwezi kuishi bila wewe? Akifa utazikwa nae?

Ukiona mwanaume hajakutafuta zaidi ya siku mbili wewe sepa kimyaaaa kwan sh ngapi?
Maneno yako ni full of stress,acha makasiriko dada
 
Hakuna ubize kwenye mapenzi achana nae huyo ..
 
Kwa maoni niliyoyasoma humu Mimi mwanaume wa hvo huwaweka kwenye option ya mwisho akiwepo sawa na asipokuwepo nakuwa tu okay
 
Tatizo lako tukiwa wote unataka nikutombe kila saa, nachoka jamani nachokaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23]nguvu nyingi unatumia hapo lumumba mda Hadi mda wa kumridhisha mwenzako huna, lazima ugongewe tu hapo
 
Ukiona mpenzi wako anakwambia yupo bize hata sms hakutumii wala simu hakupigia lakini unamuona online anabadili status whatspp lakini yanapita Na ikifika usiku unamsikilizia mpaka saa 7 usiku hajakutafuta unatakiwa urudi hatua tatu nyuma na kujiuliza maswali haya

Mpenzi wangu anapoamka asubuhi hadi mchana simu yake ina maana anashidwa kukuliza umeamkaje au kukuliza siku yako inasemaje

Je inapofika usiku kuanzia saa tatu hadi saa sita usiku muda huu wote anashidwa kukutafuta kukuliza kuhusu siku yako ilikuweje au imekwendaje

Je usipomtafuta anakutafuta na akikutafuta mazungumzo yenu ni ya muda gani na je akikutumia sms ipo katika muundo gani au ndo zile gu9t ,mi nalala kesho alafu ukipiga simu unaikuta iko bizee

Kwa kifupi nimeshawahi kupitia hii situations ila mwisho wa siku nilikuja kuachwa ila mwisho wa siku niligundua mpenzi wako anapokwambia yupo bize sana na mambo yake hapo anakuandaa kisaikolojia muachane kwa amani
Kuna ntu alinifanyia hivi na Mimi ikabidi ni mwache nikamtoa akili kabisa after like three years ananitafta na kunisumbua na Mimi kanitoka kweli kweli hata anifanyie nini Sina affections naye kabisa, ni Bora humtaki mtu umwambie tu ukweli Mimi naomba tuishie hapa atakuelewa.
 
Unampenda ila hakupendi ni simple tu
Embu tueleze ana mishe zipi had akusahau
 
Katika mapenzi, kwa kawaida kuna mmoja anayependa zaidi kuliko mwingine. Jichunguze wewe ni yupi kati ya hao wawili. Tena jichunguze mapema kabla hujaumia zaidi na zaidi na kuja hapa kuomba ushauri ukilia lia na kusaga meno [emoji2221][emoji2221][emoji91]
Furushi katika ubora wako.
 
Hakuna alie busy hadi kukosa muda wa kumtafuta ampendae.
 
Back
Top Bottom