Ushauri kwenye matumizi ya pesa za mtu...

Ni upendo tu.Hawapendi usumbuke mara zote mbili/dabalidabali.Yaani uumie kwenye kutafuta halafu uumie kwenye matumizi tena?Hapana.Siyo utu huo.Lazima ushauriwe tu.
 
tukipata matatizo mengine pia muwe mnatoa ushauri ...sio mtu ananunua gari na anaishi kwenye nyumba za national housing unaanza kupiga kerere sijakuomba pesa ya kodi, na pia naweza nisimiliki nyumba lakini nikamiliki vitu vyenye hamani zaidi ya hiyo nyumba
 
Umeanza ubishi na majidai?Kwa nini hupendi ushauri na unachagua kwa kushauriwa?
 
Umeanza ubishi ma majidai?Kwa nini hupendi ushauri na unachagua kwa kushauriwa?
 
hizo akili ziwasaidie kutafuta pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…